baadhi ya wasanii wa sisi tambala wakiwa mzigoni. vijana wengi bongo wamejiajili wenyewe kwa njia hii na wanafanya vizuri tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    HOngereni sana , kazi yenu yakuuenzi umwera tunaikubali.Mungu wazidishie .

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2007

    Tuvienzi vipaji vya hawa watu kwa kadri ya uwezo wetu. Watu wanavipaji sana tu.

    Wangekuja hapa kupiga bendi yao nje ya subway tu. Wapita njia wangewapa hela sana na kwa siku wangeondoka na zaidi ya $300.

    Wachina wamejaa kibao wanaimba, cheza dansi na sarakasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...