kuna wadau watatu wametuletea tipu za namna ya kumpigia kura flaviana...
MDAU 1.
BRAZA MICHU KUMPIGIA KURA FLAVIANA MATATA NI RAHISI, unachofanya nenda www.missuniverse.com utaona sehemu imeandikwa VOTE FOR MISS PHOTOGENIC utaclick hapo baadae itatokea window yenye picha za warembo hao halafu utaona sehemu imeandikwa AMERICA,AFRICA,EUROPE,ASIA/AUSTRALIA then click sehemu iliyoandikwa AFRICA halafu zitatokea picha za warembo sita ambao ni ANGOLA,EGYPT,MAURITIUS,NIGERIA SOUTH AFRICA,TANZANIA juu kuna maelezo yanasema VOTE FOR THE TOP THREE CHOICES.
Ili kumpa mrembo wetu kura nyingi itabidi uanze kwa kuchagua picha yake kwanza halafu picha ikiisha tokea chini yake utaona pameandikwa SELECT THIS DELEGATE then uta select usipofanya hivyo utakuwa bado hujampigia kura kisha utachagua warembo wengine wawili utakaoona wanafaa ili kukamilisha top three halafu uta submit your vote kisha itatokea sehemu ambayo inahitajika ujaze FIRST NAME,LAST NAME,STREET,CITY,BIRTH DATE,STATE/COUNTRY,ZIP/POSTAL,EMAIL,CONFIRM EMAIL,GENDER utajaza vyote,kwenye sehemu ya STATE OR COUNTRY ukiclick pale patokea majimbo ya marekani halafu utaona pia pameandikwa INTERNATIONAL kwahiyo kwa vile wewe sio residence wa US itabidi uclick sehemu ya INTERNATIONAL ili kura yako iende vizuri halafu uta-submit your vote na hapo utakuwa umempigia kura mrembo wetu na itatokea sehemu inasema THANK YOU FOR YOUR VOTE ikimaanisha umefanikiwa kumpigia kura.
Kumbuka kuwa unaweza ukatumia mail nyingi kadri uwezavyo au kama kuna mtu unafahamu mail yake na hajapiga kura unaweza kuitumia kwani hakuna haja ya kuweka password wala kujua siku halisi ya kuzaliwa mtu i hope tutakuwa tumeweza kumpigia kura nyingi na kumuweka katika hali ya kushinda na kuwa MISS PHOTOGENIC.


Mdau 2.
Mie pia nilihangaika, but nimegundua jinsi ya kufanya Maria alisahau kutuelekeza. Bofya HAPA halafu chini ya maelezo ya picha, kuna nyota nyekundu. kushoto kwa nyota hizi nyekundu kuna nyota nyeupe, RECOMMEND THIS PHOTO. Chagua 5 STARS, yaani unarecommend highly. Nimefanya na sasa ana vote 59. na ana rank 4/5.

Mdau 3.
Anon wa kwanza ukibofya hiyo address zitakuja picha za hao warembo. Picha ya Flaviana ni ya 6 click kwenye RECOMMEND THIS PHOTO kuna nyota 5 click kwenye ile ya tano 'highly recommended', utaingia kwenye sign in ya Yahoo. Kama una yahoo ID basi ingia hapo kama huna basi create 1. Ukishamaliza kusign in automatically inajiongeza kwenye idadi ya kura.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2007

    kaka michu iyo sehemu ya kuweka star nyekundu cjui RECOMMEND THIS PHOTO iko wapi??mana nimeitafuta hamna..km vp tuwekee website watu tumrushe mrembo wetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2007

    Jamani mrembo wetu anapeta soma hapo chini ....

    This year's Miss Universe pageant is missing one of its most noted contestants: Miss Sweden, a statuesque blonde whose country is one of the few to win the crown three times.

    Isabel Lestapier Winqvist, 20, has dropped out because Swedes say the Miss Universe competition, airing live Monday night from Mexico City's National Auditorium, is degrading to women and weighed down by scandals.

    "We're taking a big beating by being linked to it," said Panos Papadopoulos, the organizer of the Miss Sweden contest, which scrapped its swimsuit competition and allowed women to apply for the position like any other job after heavy criticism from feminists.

    Participants in the pageant also are breaking the mold.

    Miss Jamaica, 25-year-old Zahra Redwood, is the contest's first Rastafarian and the first to appear in dreadlocks. She wants judges to see her as a "Rastafarian promoting the message of peace, love and unity throughout mankind."

    Miss Tanzania, Flaviana Matata, an electrical technician whose country is participating for the first time, is also challenging stereotypes of beauty with her shaved head. "I never let anyone define me neither by hair nor clothing as I believe God made me perfect as a pure, natural African woman," she said.

    Donald Trump, who now co-owns the contest with NBC, says the Miss Universe Organization has redefined beauty pageants.

    "With each passing year our ratings continue to get better because of the beautiful and intelligent women who participate in our competitions," he declared

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...