jana usiku toyota wamezindua aina mpya ya kuruza waloibatiza jina na 'legend' hoteli ya kempinski. hao ni mamodo walioremba shughuli hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2007

    Ehe huyu modo wa kiume mbona kavaa katambuga (sandoes) moja?Ndo wamasai wanavyovaa hivyo? Na huyu modo wa kike make-up nyingi,angetoka kiasili tu.Poa,ubunifu mzuri wa kutumia asili yetu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2007

    Huyu tumuiteje Masai au Mzusai. Angalia hapa

    http://www.youtube.com/watch?v=s7GadUhRFyk&mode=related&search=

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Sir Issa...PICHA SAFI HII...UTAMADUNI WETU MZURI TU..."..NAONA HUYO JAMAA VIATU VYA MGUU WA KUSHOTO NA KULIA VIKO POA.." KWELI MAANDALIZI YALIKUWA MAZURI "

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...