Wananchi,

I would like to give you an update on our financial needs

After doing the relevant research and crunching some numbers, we have estimated that A TOTAL OF $17,000 is needed to transport John’s body from Houston, TX to Arusha.

In an effort to reach our goal in a timely manner, we are recommending that all Tanzanians in Houston contribute around $100 each. Having said that, please remember that any amount you can give will be greatly appreciated.

You can submit your contribution in several different ways.

a) Go to Clara’s residence and submit your cash. Clara is John’s sister and her address is: 9449 Briar Forest Dr, #5203, Houston, TX , 77063
Tel: 832 715 8740

b) Deposit your contribution directly into a bank account

Bank Name: Washington Mutual
Address: 9296 Westheimer Rd, Houston, TX, 77063
Routing#: 111993776
Account#: 3132242144

c) As mentioned earlier, a fundraiser will be held on Sunday May 20th 2007 in Houston. The event will be at Safari Party Hall (Kwa Inno), 8951 Bissonnett, Houston, TX, 77036. The fundraiser will begin at 2:00pm. As always, we are asking women to bring food and men drinks.

If you have any questions please feel free to contact the organizing committee members below.
Clara Moshi – 832 715 8740 –
rclarah@yahoo.com
Karim Faraji – 713 702 9050 –
abdufaraji@hotmail.com
George Mollel – 832 721 3003 –
gmollel@hotmail.com
Jamila Lohy – 713 858 9623 –
jazum26@yahoo.com
Rachel Mboya – 832 641 6096 –
mboyarachel@yahoo.com
Nicholas Tarimo – 281 450 4189 –
nntarimo@gmail.com
Issa Kikeke – 713 417 4384 –
isakikeke@yahoo.com



Thanking you all in advance,


Karim

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2007

    POLENI SANA WAFIWA MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
    Amefariki akiwa kijana mdogo bado, mbona hakuna maelezo nini kimemsibu?Au ndo udanganyika wetu tunapenda kuficha vitu?BWANA ALITOA BWANA AMETWAA NI VIZURI KUELEZA NI NINI KIMEMSIBU NDUGU YETU HUYU.AMEEN

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2007

    KAFA NA NINI MBONA HATUPATI UFAFANUZA KIFO CHA KINA NKYA MLIANDIKA SABABU
    HEBU TUAMBIANE JAMANI
    POLENI NA MATATIZO YOTE MNAYOYAPATA
    HUKO MAREKANI

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2007

    Jamani wa TX poleni na msiba. Ni lini tena msiba huu umetokea?

    Na ilikuaje he is too young to die na kama unavyojua US vijana wadogo wakifa kama sio ajali basi ni cancer. Ilikuaje Poleni sana

    May God rest his soul in peace.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2007

    Habari za msiba tulizipata siku mbili zilizopita.
    Kuna watu ambao wanafuatilia hili.
    Nadhani tutaweza kutoa maelezo Ijumaa jioni (Houston time).

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2007

    Poleni wafiwa. Lakini kama kila Mtanzania Houston akitoa $100, watapata zaidi ya $300,000. Hivi kuna accounting ya pesa zinazotolewa kwenye misaba USA?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 18, 2007

    Poleni na Msiba, Je amefariki na nini? Wamechomana visu tena?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2007

    Houston hamna watanzania 3,000. Namba ni kama 400-650.
    Kutokana na historia, hatutegemei kila mtu atoe $100.
    Misiba inapotokea Houston, kamati huwa zinatoa breakdown ya mapato na matumizi ya pesa mwishoni.
    Ripoti ya mapato na matumizi itatolewa baada ya shughuli kukamilika.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 19, 2007

    Hapa mpaka apatikane MZUNGU kusimamia misiba ya Watanzania wenzetu tumejawa na uroho na rushwa hiyo hela ikitolewa mwingine anaweka mfukono kesha ana HAMMER kali sana unafikiri sisi wajinga, kila mtu aanze kujikatia life insurance bwana isiwe taabu kwanza inakosti hela ndogo tu hiyo insurance!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 19, 2007

    sasa mie naswali moja, Watanzania mnafanya nini huko, yani hata mkifariki pesa za kurudishwa bongo inabidi mchangiwe, mkija bongo utajionyesha kama bonge la tajiri. siku ikifika mara utasikia vimchango vinapitishwa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 19, 2007

    Anoy 6:11 hujui unalosema na hujatoka nje ya nchi na bado halijakukuta. Mbona hapo wako matajiri kibao na wote wana vyama vyao vya kusaidiana kwenye shida na raha?

    Kwanja watu wakija bongo hamna anayejifanya tajiri. Nyie huko bongo ndio mnatupapatikia sana tu. Tukija kila siku asubuhi ni hodi , hodi nasikia fulani amekuja tumekuja kumsalimu. Salimu uondoke hapana naomba basi kadola unajua yule mdogo wako hivi na vile. Sasa nani alikwambia mimi tajiri ninahela. Kusihi nje ya nchi sio utajiri ni njia mojawapo ya kutafuta maisha.

    Na nyie mkija huku kusalimu tu kwa miezi basi mkiona how much motgage we pay every month na bili nyinginezo macho yanawatoka. Ukiona nyumba ina full security alarm, car garage remote control, TV, Internet, central AC and heater, chakula ndani ya nyumba basi mnaona wow huyu tajiri kweli. Wakati hivyo ni necessity things huku tuliko. Nyie mkiondoka basi kila siku ni emails za naomba hiki naomba hiki.

    Kwa hiyo hamna mtu anayejifanya tajiri bongo na hamna mtu akija anajiweka labe kichwani kuw amimi tajiri . Ila nyie na simple minds zenu ndio mnaona hivyo. Ukiona mtu ana dola kidogo za likizo nyie mnachnganyikiwa wakati hiyo ni lunch money in ameica.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 19, 2007

    anon wa Saturday, May 19, 2007 5:09:00 basi inatosha. Hii ni kawaida ya misiba ya kibongo huwa haiishi pasipo kusengenyana.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 19, 2007

    Haya we anon wa 5:09 tumeshasikia, haya tueleze huyo marehemu kafa na nini? mbona mnaficha, ni bora kuweka wazi kama na wengine waanze kujiandaaa kurudi home kabla ya kupitishiwa mchango mwingine. La sivyo mtaendelea kuchanga tu kila siku kama hamuweki mambo yenu wazi. Kifo ni jambo la kawaida ila kama unaona hali yako haina uelekeo wa kupona kwa nini usirudi home tu?
    Kuna mmoja amesemema alivyoongea nae kwenye simu mara ya mwisho alikuwa kama amechanganyikiwa! up to that stage...!! Strange, vijana wetu tunawahitaji, ukiona "unaumwa" rudi home tukuone sura ya mwisho. Manatupa taabu sana wazazi wenu.
    POLENI SANA WAFIWA WOTE:

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 20, 2007

    Anoy 5:09, lugha kama hiyo ndo inawaponza, mfano mzuri sana ni wewe, unaongea kama una nafasi sana kumbe ni njaa tuu, na wewe itafika siku yako tutasikia unachangiwa nauli ya kurudishwa kwenu.
    Nani ka kwambia niko bongo? Watanzania tumechoka na hivi vimchango vyenu na tunajua kwamba zingine zinaliwa na wajanja.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 20, 2007

    Wajomba mbona mnaanza kuchonga midomo wakati hela inatakiwa? Wewe kama hutaki kutoa basi kula kona waachie watu wengine watoe hiyo hela. Bongo kuna michango mpaka ya ubatizo wewe cha ajabu ni nini kuchangia kwenye kusafirisha maiti?
    Akili finyu hizi ndio maana Kikwete anawapiga mabao kila kukicha na bado sana. Kubadilika kwa tanzania ni baada ya vizazi vinne ndio mambo yatakwenda sawa. Umasikini wa akili ni mbaya sana.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 21, 2007

    Wewe anoy wa 7:33 kama ndio wewe ukiyeandika 6:11 pia basi wewe ni adui mkubwa na msaliti sana.

    Umesema "tukija bongo tunajifanya matajiri" mara "oh nani ka kwambia niko bongo"

    Toa mchango kijana wa watu aletwe nyumbani. Wewe siku yako ikifika utajileta mwenyewe do not worry that much. Walioandika hapo juu wamekueleza hali halisi wanahitaji mchango

    ReplyDelete
  16. poleni sana wafiwa Mwenyenzi Mungu awajanze nguvu.Mungu amweke mahali pema kaka yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...