jide akiwa kwenye shopingi la vipodozi leo huko japan. msikilize hapa na ngoma yake ya siku hazigandihttp://www.youtube.com/watch?v=lJLxkofaAbs
jide akiwa kwenye shopingi la vipodozi leo huko japan. msikilize hapa na ngoma yake ya siku hazigandihttp://www.youtube.com/watch?v=lJLxkofaAbs


Kuna watu wakiwaona watanzania wenzao "wanapeperusha" hivi wanachukia na kuanza kuponda.Nimekuwa napitia nyimbo mbalimbali za bongoflava na mizike mingine ya Ki-Tanzania ktk YOUTUBE nakuta comments za wakenya wakionyesha ulimwengu kuwa hao wanamuzuki ni wao.
ReplyDeleteUtakuta wanaandika, kwa mfano "this song is still hitting in Kenya".Wachangiaji wengine wanapata impression kuwa jamaa wakenya pia.Wabongo wengi utaona wanaandika mara ooh jide sio mzuri(tena kwa kiswahili) na maneno mengine ya kukandia.
Kumbe hatujui kuwa kuna risk-taking tourists wanaweza kuja kwetu kwa kuvutiwa na muziki na mambo mengine wayaonayo humo.
Najaribu kuwabeba(wanaobebeka)kwa maneno ya kuonyesha kuwa wao wanatoka nchi nzuri,kwa mfano: "big up Lady Jay-Dee, big up Tanzania-authentic Africa;the land of Kilimanjaro, Zanzibar, Ngorongoro & Serengeti".
Silipwi na mtu ila nina imani ninaweza wavuta hata watalii wawili(per year) kwenda Tanzania.Madola na mapaundi yao yanaweza kuleta tofauti ktk uchumi kama yatatumika vizuri.Pia nawapa moyo hao kina JD na wengine wajitume zaidi ingawa music piracy is draining their energy.
Tuenzi,tuthamini,tusifu na turekebishe vyetu.Vitatufaa siku moja.Safari hatua!
Tanzanianboy!
Jide asije akanunua vipodozi vya watu weupe. Yeye mweusi ataonekana kinyago.
ReplyDeleteHongera mwaya!waburudishe wajisikie wako tz,ingawa wengine hawataki kurudi home
ReplyDeleteHivi mbona sielewi hivi mwanamke ni lazima apake vipodozi hata kama mtu ana sura mbaya ambayo haivutii mwanaume yeyote?
ReplyDeleteMimi naona kama ni upotezaji wa hela za kijapani ambazo ni za kigeni tunazozihitaji kwa ajili ya kununulia pembejeo za kilimo.
I like her songs. I know guys in Japan will enjoy so much.
ReplyDelete