wadau wakimshangaa hasheem

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2007

    misupu ningekuwepo hapo ningetembeza bakora kwa wote hao wanaoshangaa ili waende makazini,mi nina swali wanamshangaa jamaa urefu? sababu jamaa bado ana safari ndefu kuwa supa staa,lakini wabongo wanashangaa kila kitu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2007

    Kuna nchi moja ya ulaya mkazi wa nchi hiyo alishapiga dongo kwa kusema kuwa waafrica wengi wakifika kwenye nchi zao wanafikiri kuwa wako mbinguni.

    Sasa naona mshangao huu unamaanisha kuwa hawa wanaona hasheem kama mtu mmoja mkubwa sana duniani. Ndio maana mtu akipewa madaraka wizi unakuwa mwingi hili wawe kama hasheem. Fanyeni kazi tu acha kuzubaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    watanzania kwa kupenda kukaa vijiweni tu hawajambo. Halafu wanataka maisha bora kwa kila mtanzania. Hebu kimbieni kazini kzi kushangaa tu bila sababu watu warefu 7-3 bongo kibao..Kirumba mrefu kuliko hashim sasa mnashangaa nini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    wewe anon hapo juu unamsema shabani kazumba? nadhani huyu bwana mdogo atakuwa ni mrefu kuliko shabani kazumba aliekuwa anachezea pazi.

    ReplyDelete
  5. Wabongo kwa kushangaa hatujambo sasa hapo sijui ni nini cha ajabu sijui ni huo urefu sijui ni kitu gani au kwa vile ndio mtu ameishaanza kuwa famous vitu vingine vidogo lakini sisi wabongo badala ya kufanya kazi tunabakia kupiga domo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...