Home
Unlabelled
wani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wakishapataga vigari namna hii basi sifa zinazidi. Mabibikwa wingi na Kupombeka kwa saana mpaka viwango vinashuka. Vandumweh! Wacheni hizo!
ReplyDeleteMbona mchizi anaonekana kama ana kiriba tumbo.Inakuwaje mchezaji wa kimataifa anakuwa kipipa?Ndo maana anachemshaga golini
ReplyDeleteAfadhali Kaka Michu umeandika Ivo ni Tz One, kuna baadhi ya wadau na vyombo vya habari hawataki kukubali hilo. Wanadhani U-tz one ni jinsi waonavyo wao na sio aonavyo kocha mkuu wa timu ya Taifa. Lets be objective!
ReplyDelete3 O-CLOCK 4 O-CLOCK 3 O-CLOCK Alijisemea MASANJA MKANDAMIZAJI...
ReplyDeletewww.masanjamkandamizajipushilizadosterlingwangimangishadothebigsnake.com.shinyangavijijini
TANZANIA GO! GO GO GO GOOO!!
Kaka Michu nifikishie ujumbe wangu kwa TFF, vp mbona website yao ipo nyuma ya wakati, inakuwaje tovuti ya taasisi kubwa kama TFF haiendi na wakati? HAbari zake nyingi zimepitwa na wakati! Haina maana ya kuweka msimamo wa ligi ya makundi unaoonyesha kama vile ligi hiyo bado inaendelea wakati ligi imeshaisha siku nyingi na washindi wameshajulikana. Hey come on TFF update ur website frequently and keep us up to date!
ReplyDeleteWatu wanaoanza leo kufahamu soka wanasumbua sana. Kama huyo mgonjwa hapo juu na ukandamizaji wake. Kufungwa ndio sehemu ya mchezo kitu kinachoangaliwa ni muelekeo wako. Matokeo ya leo yanamaanisha nini, ndio kuanguka kwako au mwanzo wa maendeleo yako. Kama kufungwa ingekuwa ndio hukumu ya mwisho leo hii tusingekuwa tunamsifia Peter Schmeichel si unajua aliwahi kufungwa magoli sita katika mechi moja, sembuse Ivo manne?
ReplyDeleteMsikurupukie ushabiki kwa vitu msivyojua mkakatisha tamaa vijana wetu. Soccer development is a process. Hii ni kama Mtoto kuzaliwa. Tafuta demu,Mwaga sera hadi akubali, Tafuta eneo zuri mtunishe tumbo, baada ya miezi tisa subiria matokeo. Hii inafanikiwa tu kama daktari kasema you have what it takes to make a woman pregnant. Kama una povu sahau.
Sasa huyo mkandamizaji hapo juu anataka kuwa povu katika soka letu,shindwa kabisa mgonjwa wewe. Tena siku nyingine ukipost issue yako andika jina tukujue kabisa.
NYAFI: umenifurahisha saaaana WHAVHEJHA SANA MWANA-WANI Jinsi ya kunifahamu Fungulia TV yako ya Inchi 14" leo jioni saa 1 jioni(31.05.2007) Tafuta EATV utaniona au toa Maoni yako katika thecomedy@eatv.tv Ha ha ha ha ha NYAFI www.masanjamkandamizajipushilizadosterlingwangimangishadothebigsnake.com.shinyangavijijini
ReplyDelete