kuna mdau ambaye ni afande alitembelea bangkok mwezi aprili na kupata wazo hili la kupunguza minyororo dar. asante sana afande kwa mchango wako murua...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2007

    Cape Town?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2007

    Huyo bwana anafikiri gharama za kujenga hayo ma-"flai ovas" ni sawasawa na kujenga lile daraja la kuvukia watu pale manzese?
    Kujenga hayo maana yake nchi nzima mkae na njaa-mjifunge mikanda sio kwa miezi 18 ile ya Nyerer, bali miaka 18!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    kwanza nafasi ya kujenga hayo mabarabara iko wapi kama si kuanza kubomoa bomoa tena nyumba za watu? wewe kule kimara tu ilikua shida kupanua ile barabara.

    Cha muhimu wakitaka hizo barabara wajenge mji mpya wenye city plans za kisasa. Huo mji waliouanziasha hawakuwaza kuwa utakuja kuwa na watu wengi hivyo. Na kila siku unavyodevelope ni nyumba za kuishi tu lakini hamna cha plan ya shule za nsingi mpya, hospital, fire house au nini. Hivi pamoja na mji mkubwa kama huo kuna fire house ngapi? Na hizi sehemu zinazopinmwa viwanja vipya kila siku kweli wanaweka sehemu ya kutengeneza hivyo vitu muhimu?

    Miji mingi sehemu za ulimwenguni kama haina sehemu za kudevelop vizuri wanajenga mpya pembeni.

    Penye nia pana njia hamna cha kufunga mkanda kwa miaka 18 wakiweza kucontol tu tax za wafanya biashara hapo Tanzania....kutangaza vizuri nchi yetu tupate watalii wengi zaidi na na tanzanite ile kule inavyojulikana hivi sasa ulimwenguni ndio wangekamua sasa hivi ikipita umaarufu wake tena basi ...tungeweza kufanya haya mambo in no time ...I am telling you


    Tanzanite ina jina la Tanzania lakini hamana hata mtu anayejua kuwa ni ya Tanzania au kuna nchi inaitwa tanzania. Ni wachache sana wenye kujua jiwe hilo linatoka bongo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...