Home
Unlabelled
banzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baada ya kazi "nzuri" ya vijana wako kuwapiga "mapaparazi" pale Ukonga, sasa unastaafu. Tutakukumbuka kwa uovu huo pia.
ReplyDeleteNaomba kujua sababu ya kutinga hizo groves.
ReplyDeleteHongera kwa utumishi huo wa muda mrefu.
Vipi msongamano magerezani,umeushughulikia ipasavyo?
Thanx for serving our country.
ReplyDeleteYou have enjoyed a long and productive career of which you can justly be proud
Hope your retirement is everything you expect it to be and much more.
Best of luck on your retirement
hatutarajii kusikia kuwa ulitumia madaraka yako vibaya
ReplyDeletehatutarajii kusikia kuwa ulitumia vibaya madaraka uliyokuwa nayo!
ReplyDeleteSafi Sana Kamanda Banzi. Tunakutakia kila la heri katika maisha yako mapya ya kustaafu. Umejitahidi sana hasa kukarabati lile ghorofo ambalo sasa litakuwa makao makuu ya jeshi la Magereza.
ReplyDeleteKamanda Banzi ni mmoja wa viongozi wachache sana, nchi hii ilibarikiwa kuwa nao. Jamaa ni mnyenyekevu na mchapakazi wa kikwelikweli. Maisha yake yote hakutaka makuu, kwa kifupi ndio mkuu wa jeshi wa kwanza Bongo kuishi Uswahilini UKONGA MADAFU na baadaye kuhamia kwenye nyumba yake UKONGA MOMBASA katika maisha yake ya utumishi.
ReplyDeleteMay god be with u... well done.
ReplyDeleteAnon wa June 21, 2007 12:30:00 PM EAT, umemsahau na IGP Mahita aliyekuwa anakaa kwenye nyumba yake pale Ukonga Mombasa. Ni uswahilini asikwambie mtu
ReplyDeleteGeshi ra mageresa umeritumikia vizuri sana, Japo najua wewe hujakifaidi sana kiti hicho unachokiacha na ninaamini kuwa unatamani kubadiri katiba iri uenderee. Kama sikosei uriingia kati ya 2001 au 2002 kuwa mkuu wa mageshi ya mageresa.
ReplyDeleteKawa wadau warivyosema hapo hatutarajii kusikia ulikuwa na makovukovu katika kamuda hako kadogo ka ukuu wa mageshi na muda mrefu wa miaka 34 ya kuwapiga virungu wafungwa.
Mwita kisiri anakutakia maisha marefu na yenye afya kwa kuwa bado anaamini ni mutu swafi ira ikionekana vinginevyo mwita hahusiki na kukutakia maisha marefu na yenye afya.