Home
Unlabelled
?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Issa we mchokozi sana......Haya..
ReplyDeleteAnko michuzi hiii nimeipenda.. yani wewe unafalisha sister zetu jezi yako kabla ya friendly match.. au kavaa mwenyewe?
ReplyDeleteAnko michuzi hii ni tamu. Mtoto katulia dunia nzima.
Michu,
ReplyDeleteHuyu ndie shemegi?
Ah Maalim Issa kumbe unajua Marketing wewe. Hii safi sana sio kila siku unapromo vya watu, sasa ni wakati wa ku-promo na vyako pia.
ReplyDeleteHuyo dada umechagua safi sana. Sasa tuambie hizo items zenye jina lako zinapatikana wapi?
Kaka Michuzi nilikuwa nakuheshimu sana ila unakoenda sasa ni kubaya, unahitaji kuambiwa. Huyu mtoto ulikuwa unamfanya nini? Hayo macho yanainyesha kuna kitu kisicho chake kimegusa mwili wake. Halafu bora angekuwa hivi ila ni mbele, sasa umemuwekea kwa nyuma. Nakushauri kama unataka tuyapne hayo maandishi muwekee kwa mbele, na jezi iwe na jina lake.
ReplyDeletemichuzi , angalia yasikupate yaleyale ya Chifupa. kwanini avae t shirt yako? kumbuka amina alivaa koti la kabwe Pale dodoma hoteli na kilichotokea unakijua, anyway yu wapi Masasi? Mbona siku hizi huleti habari zake?
ReplyDeleteAnaonekana kama Tanzania's own video girl Cynthia Masasi - check her out at www.cynthiamasasi.com
ReplyDeleteSasa sijui Michuzi kamtoa wapi.......au labda ni mwingine - sasa si ungetoa credit basi tujue ni nani manake hata caption ya picha hi ni kiulizo.
michu, masasi kakupa nini lakini au nyumba ndogo nini!
ReplyDeletemichu, masasi kakupa nini? au nyumba ndogo nini maana hamkawii kuokoteza vya mchangani!
ReplyDeleteCynthia kope zako za kubandika nzuuriii...
ReplyDeleteTupatie picha zako wakati ukiwa golikipa wa timu yetu ya Shangwe ya pale kota tuzikumbuke
ReplyDeleteCYNTHIA MASASI TENAA!!!!!!
ReplyDeleteMICHUZI ACHA HIZO..
TUMEMCHOKA MASASI NA TULISHAKWAMBIA WE LIBISHIII KA DAGAA WABICHI!
ReplyDeleteAti wadau, kwani huyu ndio Cynthia???
ReplyDeleteItabidi na mimi nimtafute huyu mrembo kusudi nishindane na Bwana Michuzi. Najua kuwa yeye mwenyewe aliwahi kuandika huko nyuma kuwa Michuzi anajua makali yake, ngoja na mimi niyajaribu. Next week nitakuwa Atlanta. Nitamtafuta nimwekee mkwara mkali, inaweza kuwa ndiyo nafasi yangu ya kukanyaga anapokanyaga Michu, you never know.
ReplyDeleteWAJAMENI HAYA MANYWELE FEKI KINA DADA ACHANENI NAYO KAENI NACHORO, MMEMWONA HATA FLAVIA ALIVYOKUWA NACHORO?? ANAPENDEZA, KAMA HAMUPENDI KIPILIPILI, BASI KATA NYWELE ZIWE FUPI KAMA ZA FLAVIA
ReplyDeleteSir Issa HABARI ZA LEO MAALIM...PICHA TABASAM HII HUYU BINTI ANACHEZA NAMBA NGAPI MAALIM.."..INASEMEKANA HUYU CHAUREMBO MUUNGWANA.."..ISSA NAONA UMETUPATIA PICHA NUSU...
ReplyDelete