mdau wa bulyanhuru obed karevenji picha ya machweo huko migodini baada ya ile ya asubuhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    Picha poa, inaonyesha adhima ya mpigaji, hata hivyo naona alichelewa kidogo tu... au hakuwa na kitu ambapo ngepanda na kuweza ku-capture the whole thing unobstructed hapo katikati.


    Cha nyongeza.. hivi ni Bulyanhuru.. au ni Bholyang'huru?!!(meaning- eating/enjoying cream de la cream , pia inamaanisha: kule wanakokula vilivyo vikuu tu) Dhahiri,hii ni tofauti ya kisukuma na kiswahili, au sivyo?! :-) SteveD.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2007

    Kwa kweli sasa nafurahia Michu na wadau wanapoturushia picha za majanini tulikotoka. Hii inakaribia kuwa blog live. Hapa ni kwetu na panaitwa Bholyang'hulu. Haya mambo ya Sukumaland. Hapa ndo watu huibuka kidedea na mali tele. Cha ajabu ni hiki, wazawa tumeishia maeneo mengine na hatufaidi migodi hii. Tena hata wanaoishi jirani wanaangaliaga na kushangaaga tu wazungu wanavyochota na kumwaga mapesa.
    Michu uende mbali!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2007

    ni BULYANHULU SIO BULYANHURU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...