mdau wa tanga katumwagia maporomoko ya mto soni, lushoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    michuzi unatukumbusha mengi tulio ughaibuni. Yaani hewa safi inayokupiga ukipita hapo mungu anajua. endelea kutuburudisha Haahaa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    Ehe asante wengine tulikua hata hatujayaona tunayasikia tu

    Sante kwa nyie wote na Michuzi kwa kukeep hii blog broad

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2007

    Michuzi- This is nice! Mama yangu ametoka huko. Well done job!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2007

    Wow! mandhali nzuri sana, ila kitu kimoja tu kimekosekana.........MITI! Pangekuwa na miti hiyo picha ingekuwa kama post card kwa uzuri. Tuamke na kupanda miti wana bongo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2007

    Asante Kaka Misupu Hapa Umenigusa Sana.Yaani Baada Ya Kona Kazaa Hapo Utakuta Wanauza Matunda Ya Kila Aina na fresh Kabisa Toka Shamba Sio Huko Ughaibuni Unakula Toka Store Mwaka Jana..Endelea endelea Mpaka Ushoto Na Mlalo Basi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2007

    Jamani, hapa Soni pananikumbusha mbali sana. Nilikuwa na msichana mzuri sana wa kazi alikuwa anatoka Soni. Yule dada alikuwa mchapa kazi sana. Halafu Mungu mkubwa alipata mme akaolewa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2007

    What a Picture!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...