DAKIKA HII TAIFA STAAZ WAKO BUNGENI DODOMA KUSALIMIA WABUNGE. PCHA NA HABARI ZAIDI BAADAYE. HAFLA HIYO IMERUSHWA LAIVU NA STAR TV NA TVT KATIKA HATUA YA KIHISTORIA
Home
Unlabelled
BUNGENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Doh..! wanasiasa wameshaingia tayari!! Safari mbona bado wazee!!? msije mkawachanganya hao vijana!Anyway mimi kwa kawaida nawaogopa sana wanasiasa hasa wabongo samahani kama nimewakwaza-Cass
ReplyDeleteBungeni mnawapeleka wakafanye nini huko!? jamani!! nyie wabunge simnatakiwa kujadili bajeti sasa!? mnataka kutuchanganya akili ili tusifuatilie mjadala wa bajeti nini!? Janja ya nyani hiyo,wapongezeni hao vijana kisha tunasubiri mtupe mjadala wenye akili-Mlewa.
ReplyDeleteKwa kuwa vijana wetu wameitoa nchi yetu kimasomaso japo bado hatjafanikiwa kwenda Ghana, ni jukumu la serikali kuwapa zawadi ambayo haitafutika katika historia ya maisha yao. Kama inawezekana wapeni vijana viwanja vya kujenga nyumba zao huko Boko au Bunju. Please help them!- Its me De.
ReplyDeleteHivi Kaka Michuzi, mimi sio mpinga umoja wa nchi yetu au sio mpinga michezo, Lakini hebu tuzungumze ukweli-hivi kweli muda na risosez zote hizi tulizopoteza kwa ajili tu ya kuwapokea Taifa staz zilistahili kweli jamani!?! Au ni ulimbukeni wetu tu?
ReplyDeleteUshindi tulioupata sio UBINGWA bado tuna safari ndefu, kweli tulihitaji kup;oteza pesa na muda wote huo kushangilia ushindi ambao sio ubingwa jamani? Vandumwe!
Bunge limepoteza muda wake wa maana wa kujadili maswala muhimu ya kitaifa eti kuwaona na kuwapongeza.
Ule muda wa bunge uliopotea utafidiwa kwa kuongeza siku za bunge mbele. Siku hizo zikiongezwa maana yake ni kwamba wabunge wanalipwa hiyo siku ya ziada. Hiyo pesa inayolipwa ni kodi ya mwananchi wa kawaida. Let us be serious jamani Mweeh!
Radio Tanzania inaacha kutangaza mambo ya muhimu inaiba muda eti kutangaza live mapokezi ya timu ya taifa kila wanakokwenda. Vitu kama matangazo ya vifo ambayo ndugu wanatakiwa wapate taarifa za haraka yamecheleweshwa eti kisa taifa staz. Gharama ya hii haionekani imidiateli lakini mwisho wa siku ni mwananchi wa kawaida/mlala hoi ndio anaibeba.
Hivi Michuzi what was so special hapo. Je timu ya kriket au netboli ikifanya kama hivyo tutafanya kama hivi tulivyofanya?
Narudia sio mpinzai wa michezo au umoja lakini nina uchungu sana na nchi yangu hasa nikiona risosez zinapotea bure kam hivi na m bebaji mzigo ni mlala hoi. Hivi hata hao wafadhili wanaotupa hela za kuendeshea inji hii wakituona hivyo tunavyofanya si wanatusikitikia sana jamani? Hivi hata vitu hivi ambavyo viko vere ovias tunasubiri kwanza mpaka tuje tufokewe au tutishiwe kusitishiwa misaada na wafadhili jamani kwamba wenyewe hatu reason kweli jamami! tutishiwe
Nina uchungu sana na nina mengi sana ya kusema lakini wacha niwaachie nafasi na wenzangu. Mnaohusika naomba mlione hilo. Hiki ni "kilio cha mtu mzima" jamani! Ohoo!
TVT, kama "Transimissible Venerial Tumour" vile
ReplyDeleteJamani, hivi bongo ni toka lini sisi tunajua mpira?? Hakuna kitu bwana, I am just watching and I know hawa Stars they are just raising people's hope to see them come crashing down so hard!! It will be so painful, painful!!!
ReplyDeleteHivi Timu Ya Taifa inafanya nini Bungeni Dodoma kwa wabunge ambao asilimia kubwa ni wazushi na hawana lolote wanalolifanya katika kuijenga nchi yetu. Wabunge wa Tanzania karibia wote ni vibaraka tu wa Serikali na kazi yao ni YES SIR kila wakati serikali inapoamua jambo. Timu ya Taifa bora mkasalimie wananchi wa kawaida tu na sio hao wabunge.
ReplyDeleteSubiri muone hii bajeti itakavyopitishwa bila ya mabadiliko.
lete raha kaka Michu wa Mirost!! Tunasubiri vitu hapa leo hatoki mtu mtandaoni!
ReplyDeleteMichuzii vipiiiiiiii???? Mbona hakuna update? Tunasubiri yaliyojiri Dodoma na JK eapoti wanaume walipowasili.
ReplyDeleteNimesoma kwenye gazeti la mwananchi kuwa wachezaji wanapewa a lot of millions, kwanini wasijenge shule? wabunge jadirini mambo muhimu ya nchi....
ReplyDeleteWewe bwana Michuzi unapenda sana mambo ya Liverpool and Jaydee, lakini Stars No, hata majina ya wachezaji hujui bwana? picha za mapokezi.... ingekuwa Jaydeee and wengine ungekuwa tayari umeweka.... asante bwana,
ReplyDelete