Home
Unlabelled
wafadhili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana fagilia,
ReplyDeletemichuzi mkumbushe Leodga,hizo pesa sio za kulipia madeni ya kina rage na ndolanga,hizo ni pesa za motisha kwa wachezaji waondokane atleast na matatizo ya kulala kama wanafunzi wa bweni au wa vyuo(kubebana)-na hasa wanaotoka mikoani,kwa kifupi wasio chezea timu kubwa
Michuzi mbona unaweka picha chache chache, mchana kutwa si ulikuwa kwenye mapokezi? Tupo kwenye Computer zetu kusubiri kila kitu. Weka picha mzee, O'C-Sinza.
ReplyDeletedu ee bwana si mchezo kweli ushindi wa Taifa stars sasa utakuwa neema kwa wengi kila mtu atatak kuonyesha msuli wake, alex massawe sasa hapa ndio pa kujisafishia jina baada ya sakata la mwaka jana la kudhamini majambazi. Ila safi sana inapokuja kwenye suala la kitaifa wote tunakuwa wamoja na kuondoa tofauti na tabia zetu
ReplyDeleteHuyo Alex Masawe si ndio yule JAMBAZI mkubwa analiyekukwa na kesi mbaya bado yuko nje!!!!!!!!!!! sasa anataka kujikosha - mboni mambo
ReplyDeletehabari ya mchana Michuzi. mimi nina tatizo dogo ambalo nahitaji msaada wa kueleweshwa kutoka kwako au mwanablog yeyote ambaye atapenda. ninahitaji kupata kumbukumbu za siku za nyuma za tarehe 15,16, na 17 June,2007 lakini inakuwa inakuwa shida. je kuna utaratibu gani ninaotakiwa kuufuata nifanikiwe?
ReplyDeleteunajua watanzania tuna uvivu wa fikra. Ni wavivu kufikiria. Sasa kuwapeleka hawa Taifa Stars kwenye hoteli ya Massawe ndio nini? Kwani hawapo kambini? huku ndio kuvuruga kambi na mazoezi. Sasa wangefungwa wangeenda kumpuzika wapi? Achaneni kufanya mambo ya kienyeji.
ReplyDeleteSasa wewe michuzi umebania komenti zangu kuhus huyu massawe kuwa yupo chini ya uangalizi wa mahakama kwanini? Hiyo ni public information. ACha zako hizoo kama unataka usiwe picha yake basi. Watanzania sijui tutaendelea lini?
Sijui mnajadili nini lkn mi ntakasema tu men wakitanzania dhuu wazuri bana, the rest mtajijua
ReplyDelete