
wadau wanasema mambo mazuri hayataki haraka. muda si mrefu ujao utajua nini cha kufanya ufaidike na hii kupitia kwenye globu yenu hii. ama bofya www.crdbbank.com kupata undani wake
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is good kama fee zake zitakua poa...kwa vile kama ni more than $15 per transaction itakua bora direct wire transfer za sasa hivi tunazofanya kwenye foreign account zetu bongo...
ReplyDeleteThis is so unrealistic for person loan requiremets
ReplyDeleteYou must be earning a monthly salary of Tshs. 200,000.00 or more
and then
Your salary will determine the amount you can borrow. Generally, you can borrow up to 33.33% of your total annual salary.
Jamani mbona naona kama basi hiyo loan ni hasara tu na haitakua na maana yeyote kwa normal people ambao ndio majority ya watanzania?
Kama minimum requirement ni 200,000 per month na loan haizidi 33.33% of annual salary from this with a minimum requiremnt, one can qualify for up to 800,000 loan. Hiyo lakini nane kweli can you buy a house or a car...with that???? Bongo bwana...!!!!!!!! We don't want to be real
Wange introduse credit scores kwa vile huku tuliko kama ni hivyo tusingeweza hata kufanikiwa kununua nyumba....kama wangekua wanakupa loan ya nyumba kutokana na annual income yako.
anon wapi huko uliko wanakokupa loni bila kujali income yako? unaweza kuwa na crediti skoo nzuri lakini kama income yako ni mandemba basi unakuwa huwezi kukolifai kupata loni ya nyumba, vinginevyo utaishia kukopa nyumba ambayo hutaweza kuilipia.
ReplyDeleteMie naona kitu cha kufanya ni serikali ikishirikiana na mabenki waanzishe mfuko wa kukopesha kwa ajioli ya nyumba kwa wale wasio na mishahara mikuuuubwa. Angalia Fannie mae
Yes, wanaangalia income lakini ratio ya income na loan ya nyumba sio 33.333% you got my point.
ReplyDeleteHapa wanakupa motgage au personal loan wakiona total debts ulizonazo kama car loan, school loans na credit cards na nyumba ukipewa hazitakua more than 33%-50% ya income yako per month not per year.
Huyu malaya tu, mara anaaga mara yupo leo hii tena anaagwa which is which mrs mungi or mrs. london.. bitch get a life!!!
ReplyDelete