photography ni neno la kigiriki lenye kumaanisha mwanga+mchoro ama kuchora kwa kutumia mwanga, wakati camera ni kilatini kumaanisha 'chumba cha giza' na ili kufanikisha kupata picha lazima mtu ucheze si na mwanga tu bali pia mistari na miduara ama tusema maumbo. hili ni ubungo plaza uani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...