joseph kaniki golota pia anategemewa kuwapa furaha wabongo huko wagadugu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    Dah Bongo kuna marasta wengi kumbe.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    nashukuru kaka michuzi kwa kutuwekea picture za Taifa stars, thanks

    mungu ibariki Taifa Stars.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    NAOMBA WADAU, ANAYEWEZA KUTUWAMBIA, KAMA TUNAWEZA KUIONA MECHI YA TAIFA STARS NA BUKINA FASO LIVE ATUARIFU

    KAMA KUNA MDAU ANAFAHAMU WEBSITE AMBAYO TUNAWEZA KUONA MPIRA WEBSITE.

    TUNAMSHUKURU MDAU AMBAYE ALITUPATIA WWW.REWMI.COM

    AHSANTE SANA

    NAOMBA UTUPATIE KAMA UNAYO YA BUKINA

    AHSANTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...