Home
Unlabelled
handakizzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ehee Mungu ehee, tusaidie na yetu bongo. mtu anasukuma hevy machine kama hiyo lakini chini amevaa sandals, no any sort of protective gear. barabra kubwa kama hiyo inafunikwa na udongo tu ikija mvua kizaa zaa dimbwi, tope lote letu. kwa nini tunashindwa kufanya kitu permanent ila tunalipua lipua tu? kinachobaki baada ya siku chache kero pale pale.maoni yangu ni bora kulocate resources eneo moja nakuondoa tatizo hilo kabisa baada ya kuzidistribute ktk maeneo tofauti ambapo tunakuta hakuna cha maana kinafanya bali ni ulipuaji tu kitu ambacho kinafanya matengenezo yawe mara kwa mara at the end of the day inakuwa gharama zaidi.
ReplyDeleteUHANISI MTUPU UNAENDELEA BONGO,TATIZO WASANII WENGI!ULIZA NI KIASI GANI CHA FEDHA KIMETUMIKA HAPO?
ReplyDeleteeither hamna hela hapo ndio maana wanafanya hivyo au sub contractor kibao..hela inapitia third parties wengi tu ikifikia kwa mfanya kazi hamna jinsi..wakubwa wamemaliza ...ulizia imetolewa ngapi ya kutengeneza hapo...lakini iliyotumika ni ngapi utashangaa
ReplyDeleteJAMANI INASIKITISHA SANA KUONA ETI KIJANA MLALA HOI NDO ANAKUA INJINIA WA UJENZI WA BARABARA,HUKU UGAIBUNI AMA NGAMBU WATU WENYE ELIM ZAO NDO HUWA WANAFANYA SHUGULI HIZO,JE SIRIKALI HAILITAMBUI HILO?AU NDO KUDANGANYA WANANCHI TUUUUUUUUUU?BARABARA TOKEA MKOLONI,SIONI HATA KIMOJA AMBACHO KIMEFANYWA CHA MAANA KUTOKANA NA KODI ZA WANANCHI,NA LIKIFANWA BASI KUTAKUA NA MKONO WA WAFAZILI,JE SIRIKALI HII NA NYENGINEZO ZILIZOPITA ZINAWAPELEKA WAPI WA TZ WALALAHOI?HUYO MLALAHOI MWENYEWE ANAEZIBA HIVYO VIRAKA UKIPEKUA PROFESION YAKE NI KICHEKESHO,BASI HIO TENDA YA UKANDARASI WAMPASIE PANDE KINJE,MAANA SERIKALI YA CCM INAMLINDA HUYU BWA MDOGO KWA STAILI YAKE,KITUO CHA MABASI YA UBUNGO KINJE,
ReplyDeleteUWANJA WA TAIFA MPYA KINJE,
INAONEKANA HUYU KINJE NDO MILIONEA NA MWENYE SIFA ZOTE?MI SIELEWI.
NAAMINI KUWA KUNA WATANZANIA WENGI WANA UWEZO WAKUFANYA MAMBO YA MAANA ENDAPO WATAPEWA NAFASI KAMA HIZO.
MFANO
HAPA KATIKA JIJI LA SEOUL SOUTH KOREA KUNA KITUO KIMOJA KIDOGO CHA MABASI,NI KIDOGO KWA ENEO AMBAPO CHA UBUNGO HUENDA KIKAWA MARA 3 KWA UKUBWA LAKINI KINAWEZA KUOPERATE MORE THAN 100 BIG CITIES AND BEST CERVICES.
NA HICHO CHA KWETU SISI CHA UBUNGO KIPO KMA JELA VILE,TUNAFANYA MAMBO ILIMRADI LIENDE TU,
AU KAMA NOMA NA LIWE NOMA?
SIRIKALI HII YA TANZANIA IMEKOSA DIRA NA MUELEKEO
NCHI MASIKINI,WANANCHI NI MASIKINI WA KUTUPWA,HALI ZA WATANZANIA NI MBAYA MNO,WALIO WENGI HAWAJUI WATAKAPOAMKA WATAKULA NINI
RUSHWA,UJAMBAZI NA MENGINEYO NI HADISI KUFIKIA KIKOMO.WALA RUSWA NI VIONGOZI,WABADIRIFU WA MALI YA UMA NI HAO HAO VIONGOZI WA CCM.
NI KWELI NA NAAMINI KUWA KUTOKANA NA RATE ZA HUKU UGAIBUNI TANZANIA SIO SEHEM YA KUISHI BINAADAM,TUMESHINDWA NA HATA BURUNDI NA RWANDA NCHI AMBAZO ZILIKUA NA VITA KWA MIAKA KADHAA LAKINI LEO ZIMETUPITA KIUCHUMI NA HALI YA MAISHA YAO BORA KULIKO YA TANZANIA.TAIFA LILOJAA WALA RUSHWA NA WAKIRITIMBA,MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI AMBAO WAPO MADARAKANI KWA MASLAHI YAO NA SI YA WALIOWENGI.
LAKINI IPO SIKU YATAWATOKEA PUANI
KAMA DIKTETA SADAM HUSSEIN YALIOMKUTA,
WORSE TO WORSE
SEOUL-YONGIN CITY
JAMANI INASIKITISHA SANA KUONA ETI KIJANA MLALA HOI NDO ANAKUA INJINIA WA UJENZI WA BARABARA,HUKU UGAIBUNI AMA NGAMBU WATU WENYE ELIM ZAO NDO HUWA WANAFANYA SHUGULI HIZO,JE SIRIKALI HAILITAMBUI HILO?AU NDO KUDANGANYA WANANCHI TUUUUUUUUUU?BARABARA TOKEA MKOLONI,SIONI HATA KIMOJA AMBACHO KIMEFANYWA CHA MAANA KUTOKANA NA KODI ZA WANANCHI,NA LIKIFANWA BASI KUTAKUA NA MKONO WA WAFAZILI,JE SIRIKALI HII NA NYENGINEZO ZILIZOPITA ZINAWAPELEKA WAPI WA TZ WALALAHOI?HUYO MLALAHOI MWENYEWE ANAEZIBA HIVYO VIRAKA UKIPEKUA PROFESION YAKE NI KICHEKESHO,BASI HIO TENDA YA UKANDARASI WAMPASIE PANDE KINJE,MAANA SERIKALI YA CCM INAMLINDA HUYU BWA MDOGO KWA STAILI YAKE,KITUO CHA MABASI YA UBUNGO KINJE,
ReplyDeleteUWANJA WA TAIFA MPYA KINJE,
INAONEKANA HUYU KINJE NDO MILIONEA NA MWENYE SIFA ZOTE?MI SIELEWI.
NAAMINI KUWA KUNA WATANZANIA WENGI WANA UWEZO WAKUFANYA MAMBO YA MAANA ENDAPO WATAPEWA NAFASI KAMA HIZO.
MFANO
HAPA KATIKA JIJI LA SEOUL SOUTH KOREA KUNA KITUO KIMOJA KIDOGO CHA MABASI,NI KIDOGO KWA ENEO AMBAPO CHA UBUNGO HUENDA KIKAWA MARA 3 KWA UKUBWA LAKINI KINAWEZA KUOPERATE MORE THAN 100 BIG CITIES AND BEST CERVICES.
NA HICHO CHA KWETU SISI CHA UBUNGO KIPO KMA JELA VILE,TUNAFANYA MAMBO ILIMRADI LIENDE TU,
AU KAMA NOMA NA LIWE NOMA?
SIRIKALI HII YA TANZANIA IMEKOSA DIRA NA MUELEKEO
NCHI MASIKINI,WANANCHI NI MASIKINI WA KUTUPWA,HALI ZA WATANZANIA NI MBAYA MNO,WALIO WENGI HAWAJUI WATAKAPOAMKA WATAKULA NINI
RUSHWA,UJAMBAZI NA MENGINEYO NI HADISI KUFIKIA KIKOMO.WALA RUSWA NI VIONGOZI,WABADIRIFU WA MALI YA UMA NI HAO HAO VIONGOZI WA CCM.
NI KWELI NA NAAMINI KUWA KUTOKANA NA RATE ZA HUKU UGAIBUNI TANZANIA SIO SEHEM YA KUISHI BINAADAM,TUMESHINDWA NA HATA BURUNDI NA RWANDA NCHI AMBAZO ZILIKUA NA VITA KWA MIAKA KADHAA LAKINI LEO ZIMETUPITA KIUCHUMI NA HALI YA MAISHA YAO BORA KULIKO YA TANZANIA.TAIFA LILOJAA WALA RUSHWA NA WAKIRITIMBA,MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI AMBAO WAPO MADARAKANI KWA MASLAHI YAO NA SI YA WALIOWENGI.
LAKINI IPO SIKU YATAWATOKEA PUANI
KAMA DIKTETA SADAM HUSSEIN YALIOMKUTA,
WORSE TO WORSE
SEOUL-YONGIN CITY
Tatizo la Bongo Siasa zimetawala sana yaani wanasiasa wamekuwa ndio mainjinia, madokta, wafanyabiashara na kila kitu. Sasa hapo engineers estimates zinaweza kuwa zimecover kila kitu yaani kuanzia safety of workers mpaka quality of the road, ila zikiwafikia wale jamaa wanaojiita madiwani ambao wengi ukiwaambia maana ya CBR (California Bearing Ratio) ni nini? wanakuambia aaa fanya fanya tu zitoshe hela hakuna kama wewe engineer huwezi tutampa kazi mwingine. Hawa jamani, hawa wanasiasa ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa sababu kila ktu wao wanaona simple kinawezekana, matokeo yake ni kuweka budget kidogo kwenye maendeleo na kuongeza ya malupulupu yao.
ReplyDeleteBado ikija na kwenye tender wanataka 10%, usipowapa wanasema umelipua kazi ukiwapa mtaelewana.
Ushauri: Wakati umefika sasa kwa madiwani na wabunge na mpaka mawaziri kuwaachia wataalam waliosomea kazi hizi vyuoni wafanye kazi wao wawe tayari kutoa resources kwa kupitisha budget na wala si kutolea macho 10% tena kwa kama estimate inasema mifuko 10 ya cement wewe ukitaka 10% ujue itaingia mifuko 9 na kuathiri ubora wa kiwango.