Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2007

    Braza Michuzi ngoja nimuunge mkono kaka Ki-Rat hapo juuu. Hii ni mamboz kutoka kwa watani wa jadi (?Shang?):
    1. Ati wewe ni m-blak mpaka ukisimama kwa ukuta ya white watu wanadhani ni short cut....
    2. Ati, we m-black mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch...
    3. Wewe mnono, ulienda movie and u sat next to everybody...
    4. Ati wewe ni mchafu mpaka ukimaliza kuoga sabuni inakusengenya...

    Hapo tayari mimi nipo taabani wallahi!!!! Kama una nguvu endelea navyo vituko vywa watani wetu wa jadi.....

    5. Ati skin yako ni tight mpaka uki wink mguu moja inainuka...
    6. We ni m-ugly mpaka monkey ilikuona ikakupatia ndizi..
    7. We mnono ulienda national park elephants zikakutupia peanuts...
    8. Uko na mguu ka za kuku ukienda waseee wanadhani unarudi...
    9. Ati wewe ni m-tall mpaka uki-take milk inakuwa sour before ifike kwa tumbo...
    10. wewe ni m-tall ukitembea unapigiwa honi na ndege instead ya gari...
    11. Ati kwenu mko wengi hata mkilala miguu inabaki nje ilimtoshee...
    12. Ati kwenu mko wengi mpaka mna lala na shifts...
    13. Ati uko na handwriting mbaya mpaka ukituma SMS haisomeki...
    14. TV yenu ni nzee mpaka mna izima na maji...

    Duh, hapo imekuwa soo sasa....

    15. Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted...
    16. Kwenu nyi wengi badala ya sofasets muko na viti za stadi (stadium)...
    17. Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi...
    18. Eti we ni m..black mpaka shetani akikucheki anasema ............Jesus!
    19. Ati wewe ni mjinga ulifail blood test....
    20. Eti manzi wako ni mslim mpaka akimeza donut bila kutafuna hukaa kama ana mimba ya miezi sita!
    21. Eti paka wenu ni mnoma mpaka akishika panya anaitisha chumvi na pilipili!!
    22. Wewe nywele yako ni ngumu kabla uchanue wewe humeza painkillers...

    Kipanya lete mamboz mengine.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2007

    He, kipanya siku hizi umepiga hatua kweli, unaduka ikulu.
    Naomba kununa Share.
    How Much will it cost me, including Goodwill.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    Lets come up with an organized analysis refering to this scenario: A bus load of politicians were driving down a country road, when all of a sudden, the bus ran off the road and crashed into a tree in an old farmer's field. The old farmer, after seeing what happened, went over to investigate.

    He then proceeded to dig a hole and bury the politicians. A few days later, the local sheriff came out, saw the crashed bus, and asked the farmer where all the politicians had gone. The old farmer said he had buried them.

    The sheriff then asked the old farmer, "Were they ALL dead?" The old farmer replied, "Well, some of them said they weren't, but you know how these politicians lie."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...