Home
Unlabelled
inzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu man! yo're a wicked photographer...I like you guy!
ReplyDeletemichuzi laiti kama tungejua huyo mdudu hapo anaacha funza wangapi, sijui kama tungeruhusu kutua kwenye miili yetu.
ReplyDeletekama una wa mchezo, tafuta magnify glasses kubwa kiasi na uone jinsi gani mdudu huyo anavyosambaza maradhi anayoibua toka kwenye uchafu na kujaza kwenye miili ya wanadamu.
Ni rahisi sana kuona funza anaowaacha tena ndani ya mwili. mvizie anapotua, mpe muda halafu uone madhara yake. Hatari sana.
huyu inzi amesikia harufu ya cocoa butter lotion yake aliyojipaka akasema ulaji si huu ngojea nitue hapa nipate lunch
ReplyDeletemmmmhhh huyu mdada na madoadoa sijui ungeonyesha sura yote ingekuaje nadhani ndo maana naona hata huyo inzi ametua
ReplyDeleteDuh,wewe kweli mpiga picha.yaani huyu inzi umemweka apozi au? Nimesoma mahojiano yako pale bongocelebrity.com.kumbe kaka umetoka mbali..big up mithoup!
ReplyDeleteMichu hebu tupe angalau sura nzima ya mteja wako basi. Japo kichwa tu!
ReplyDeleteHalahala huyo inzi na NAirobi red eyes.
ReplyDeleteMhhhhhh huyo dada ututumie picha yake kesho tuone macho yake.
Michuzi,
ReplyDeleteKwani usafishaji wa picha zako ukoje? Mbona unatuangusha kaka. Basi tuseme Tanzania tuko karne ya 15 labda. Wenzio huku nchi za watu wanasafisha picha inatoka bila ya huyo nzi. Ni kwamba Dar hatuna tekelinalokujia la kufanya hivo? Mie nilishapigwa picha baada ya ajali, kwakuwa picha yangu ilihitajika kwa maswala maalum, basi kovu la usoni liliondolewa na mpiga picha wakati anasafisha. Kuna program simple katika kompyuta kaka. Usipoteze pesa ndogo ndogo kama za huyo dada.
powaaaaa
Michu aminia, naona umewakamata wengi na picha ya inzi, kuna mdau anadhani ni kweli huyo nzi amekuharibia ulaji anashindwa kuelewa kwamba wewe ni mbunifu na mjanja wa kuibua mijadala. Kwa taarifa yako wewe unaedhani bongo hakuna teknolojia ya ku-manipulate images umeuwawa!Ila kama ulitaka kujitambulisha kuwa upo Ulaya nadhani message sent!
ReplyDelete