mdau james akifurahia baada ya mai waifu wake kupata cheti cha uwakili wa kujitegemea leo mahakama kuu dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2007

    mdada hongera sana maana wengi wanasoma wakifikia mtihani wa kuwa wakili wanachemshaga!congrats!mzee sasa umpige jeki maana hapo namuona choka mbaya!msidie saidie

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2007

    Samahani, hivi wapiga viatu rangi hakuna tena huko bongo? Maana hicho kiatu cha mshikaji kipo kwenye hali mbaya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2007

    Hawa wote mbona ni wazee maisha watayala lini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2007

    wow! Hongera Sana Dua! You look Fabulous! Hard Work and Patience eventually pays....God Bless You!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2007

    Dua hongereni sana, haya ni matunda yanayotokana na uvumilivu wa muda mrefu.Kuhusu maoni ya wengine hapana bwana mimi sioni kama ni issue ya uzee wala viatu kama wengine walivyotoa maoni yao au mnataka kujua umri wa watu na wamevaa vitu vya thamani gani?,acheni hizo wabongo hawapendi kuona mtu anafurahia mafanikio yake. muacheni mwenzenu ajivunie kile alichokipanda au nyie mna interest na maisha ya watu?.Kuweni wastaarabu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2007

    Mswahili bwana hata umpake rangi habadiliki mindset yake. Haina maana kumjadili mtu na uvaaji wake, lets discuss issues and ideas. Tubadilike jamani. Hongera sana mama kwa kufanikiwa kuukwaa uwakili wa kujitegemea, hope kina mama wengine watafuata your footsteps/prints.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2007

    Dua keep it up girl, u deserved it. James take gud care of her, it is worth it. Congratulations to you both! Stay Blessed.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2007

    Dandada (James) hongereni sana, pia nifikishie hongera zangu kwa Dua. ametoa mfano mzuri kwa wanawake wanaopenda maendeleo. achana na hao wenye chuki binafsi wanaozungumzia pumba eti viatu, mara maisha, inawahusu nini? i thought wangezungumzia zaidi zababu ya nyinyi kutokea kwenye hii blog.hawaoni kama hapo palikuwa na vumbi? kila la heri. sister F...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2007

    jamani,mbona hata UK watu tunaona viatu vimechoka,nguo zimechoka.Kwanini msijadili efforts za huyu mwanadada kufanikiwa mnaingiamambo tofauti.uzee?unajuaje kwa picha kuwa mtu mzee?anyways!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2007

    mke alikuwa busy na prep ya graduation hakupata muda wa kupeleka kiatu cha bwana kupigwa polish. lawyer mzuri hata kama ni mwizi atakubali kosa akiwa courtini na huyo dada
    aisha habib

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 14, 2007

    Baadhi ya wanawake wakipata uwezo fulani kuwazidi wanaume hawataki tena kuwahudumia vizuri ikiwa ni pamoja na kupiga kiwi viatu vya waume zao.

    Isije kuwa huyo Mama kupata uwakili ndio kaanza mara moja kuonyesha kucha zake za mgomo wa kupiga kiwi viatu vya mumewe!

    Mbona viatu vyake safi au Mume ndiye kampigia kiwi akiogopa kuburuzwa na na mama wakili mara moja?

    Wewe unayesema hakuna wapiga kiwi?
    Ukome.Kwa sisi wanaume Kiwi lazima apige mke na siyo shoe shiner barabarani.Kwa nini upige barabarani wakati una mke nyumbani? ambaye umemlipia bei halali (bride price) ya kumnunua? Labda mtu uwe ulipora hukulipa hiyo price.

    Kiatu cha bwana sharti kipigwe kiwi na mke.Asipopiga.....!???

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 14, 2007

    Hongereni sana Dua & James. Wenye wivu wajinyonge wanaongelea viatu miaka hii hawana sera hao, roho mbaya tu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2007

    Hongereni sana Dua & James. Wenye wivu wajinyonge wanaongelea viatu miaka hii hawana sera hao, roho mbaya tu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2007

    Gongo(James) naona wajinga wanachongaaa, hawajui kuwa una BRUNO MAGLI hapo chini!! kwa WANAOJUA..... inajieleza tosha.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 14, 2007

    anonymous of June 14 4.14.00PM EAT
    DISCUSS ISSUES, AFTER ALL MARRIAGE IS A PARTNERSHIP.THE MAN IS THERD FOR HIS WIFE, SHE'S DONE SOMETHING POSITIVE IN HER [PROFESSIONAL] LIFE. THEIR PRIVATE LIFE IS NO ONES BUSINESS BUT THEIR OWN.CONGRATS GIRL DIS THE NEGATIVE COMMENTS.CONGRATS TO THE MAN AS WELL, NOT MANY BONGO GUYS SUPPIRT THEIR SIGNIFICANT OTHERS AS MUCH.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2007

    EXACTLY,
    THEIR PRIVATE LIFE IS NO ONES BUSINES, MAANA KWAKWELI SIFA ZA JAMES RWEHUMBIZA ZINAJULIKANA HAPA MJINI, NA DUA NI MVUMILIVU SANA. HONGERA DADA DUA,
    NA NYIE WABONGO, ACHENI KUFATILIA MAMBO YA WATU. DO YOUR OWN. TULISOMA MAONI YALIYOPITA KAMA MWAKA JANA PIA KUHUHU WATU WENGI PAMOJA NA HUYU JAMES. IMETOSHA, HII NI PICHA MICHUZI AMEONYESHA MAENDELEO YA WANAWAKE, NA TUMSIFU NA KUMPA HONGERA DADA DUA, SIO KUTUMIA FURSA HII KUTOA MAONI YA KUMSAKAMA JAMES NA KUTOA SIRI ZAKE, ZINAJULIKANA, NA WHO ARE YOU TO USE NAFASI YA MICHUZI KWEYE HII BLOG KUANDIKA UJINGA. ACHENI UJINGA WENU HAPA.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 15, 2007

    Makamu wa Raisi wa Uganda Specioza Kakizibwe aliyekuwa mwanamke alilimwa mateke na mumewe kwa kukataa kupiga kiwi viatu vya mumewe.

    Mumewe Hakujali kuwa yeye ni makamu wa raisi wala nini.

    Mbona nampa heko! Hivi nikitaka kumpongeza huyo dume wa shoka wa Uganada naweza kutana naye wapi Michuzi?

    Tuwekee picha yake kwenye Blogu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wenye wanawake wenye vyeo wajeuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...