jaji mkuu mh. barnabas samatta (kati) na jaji kiongozi mh. amiri manento (pili shoto, walioketi) wakipozi na mawakili wa kujitegemea wapya 45 ambao leo kawakubali na kuwakabidhi vyeti baada ya kufuzu mtihani wa taaluma hiyo kufanya idadi ya mawakili wa kujitgemea bongo kufikia 972

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2007

    kwani hiyo miua na mishada mngeviweka pembeni na kupiga picha makini ingekuwaje?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2007

    wanasheria kibao lakini haki za binadamu migogoro.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2007

    naomba kuuliza mawakili wakujitegemea kwa kingereza ndio nini?

    Na malawyer Tanzania wanaspecialized au kila mmoja anaweza kushughulikia mambo yeyote? Kama nikiwa na shida ya
    immigration, entertaiment, cooperation, divorce, criminal etc kuna directory ya kujua ni lawyer gani ana ujuzi wa mambo gani au lawyer yeyote anaweza kunishughulikia?

    Thanks

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2007

    Napenda kukupongeza Jaji Mkuu Mh.Barnabas Samatha kwa kazi nzuri unayoifanya hadi sasa maoni yangu leo ni kwamba naona kama fani hii ya sheria kidogo imeanza kuwa rahisi nimefuatilia takwimu za idadi ya mawakili kuanzia uhuru hadi leo inaonyesha miaka hii ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la mawakili wapya kila mwaka, nadhani hii itachangia kuwa na mawakili walio na uwezo mdogo kulinganisha na mawakili waliopita, wengi mawakili wa sasa ni wadogo na hawana exposure kubwa na kazi za kisheria hasa katika kufanya kwa vitendo hakuna challege yoyote tofauti na zamani. nasema haya kwani nimekaa kwenye taaluma hii takribani miaka saba sasa naona wanasheria wa sasa wengi kwa kweli ni wachanga sana internship kidogo,hata mahakamani wanakabiliwa na ushindani mkubwa ,hawana uwezo wa ku-urgue kabisa na wengine hata Court rules and procedure hawajui yaani naona kama sheria inashuka hadhi kwa jinsi mnavyowaburuza vijana kwa wingi bila kuwachuja.wapeni muda wa kutosha kukaa kwenye Chambers tofauti wapate uzoefu wa kutosha kabla ya kufanya Bar Exam.
    Akhsante.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2007

    huyo aunty mwenye afro ndo wale niliosema aunty zangu wa dmello family, si mchezo family yetu tunavipaji.
    mara mwaka ujao mnasikia mtukufu rais aisha habib, watu weweeeee...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2007

    Aisha Habib mhhhh wee natamani ningekujua..

    Hao kina dmello mbona umewang'ang'ania hivyo...Nisoma comment moja kwenye mapambo ya harusi ...watu walikushushua kuwa sio Monica Dmello wako leo tena huku mawakili" basi ndio wale aunty zangu niliosema...." Hey lady ...usipende kujulikana kupitia migogngo ya watu...fanya matusi yako watu watakufahamu...kwanza huyo ni aunt ..je angekua mama au dada yako wengine tusingepumua huku....

    Wabongo mmezidi kudandia lift za watu ndio maana sio wengi tunaoendelea kwa vile aunt akiwa wakili basi wengine wote holla...kila mkitembea mimi aunt yangu ...ni so and so...Get a life

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    Jamani ,ebu tuwe waungwana kidogo..kwani kumsifia mtu kuna ubaya gani na kama anastahili?? sasa kama hamjui huyo dada basi ndio mpigania haki za kina mama ,Ndio sasa Rais wa chama cha wanasheria Tanzania baada ya Rwechungura!!kwani hamsomi magazeti na kuangalia Luninga jamani..huyo dada anastahili pongezi...tuache roho kutu!!ana mambo mengi na yupo Tawla..jamani enhee ndio kina Demello hao....namuadmire sana huyu dada maana namjua sanaa!!!!Hongera dada keep it up..

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    Afadhali we anony uliyeamua kumgea ukweli wake huyo Dada Aisha! yaani anaiudhi huyu dada! Sijui ana kaushamba fulani au ndio uswahili wenyewe! kujifanya mjuzi wa kila kitu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...