leo nimepita kuona wanja letu jipya la neshno stedium nikakuta likiwa na jina tayari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    Michuzi

    Tunashukuru kwa picha nzuri nzuri za maeneo mbali mbali.

    Mimi kwa kweli macho yangu naona haya nguvu ya kutosha nimeshiondwa kusoma jina la Wanja letu, unaweza kutupatia picha ambayo inaonyesha vyema au tuwekee jina kwenye caption maana tuna hamu ya kujua laitwaje hilo wanja weye.

    Sele- Montreal

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2007

    Jina tayari?
    MAXIMO NATIONAL STEDIUM AU
    ERASTO NYONI '' "
    NIZAR KHALFANI

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2007

    sasa hiyo ni barabara au...Na lango kuu hapo hapo au ni danganya toto tu. naona barabara ya lami na kama hapo ndio itakua main gait sijui pataingilikaje. Naomba utueleze. kwa vile hata kama hilo jina ni la kutangaza tu lipo karibu sana na barabara na hamna hata atakayeliona . Isije wamepoteza tu hela kwa hilo jina kila neno sijui linacost gani.
    naomba kuwakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...