kuna mdau kaleta hii sasa hivi...
Kaka michuzi,
Mungu yu pamoja nasi. Japo nipo job, jamaa nimewaona na wanafungika tu. Inshallah tusubirie 45 za mwisho. Ila ndo nna wasi wasi kidogo, yawezakana hawa JK boyz huwa na ari na mori zaidi JK mwenyewe akiwepo uwanjani,kama ni hivi itabidi prezidaa awe anahudhuria mechi zote sasa.
Mdau....tuhabarishane basi hilo gemu unaliangalia kupitia tovuti gani..?
ReplyDelete