wadau sasa ni mapumziko huko wagadugu na hadi sasa mambo ni 0-0. tumeshambuliwa kinoma nusu ya kwanza, ambapo wao wamepata kona 4 kwa yetu moja. midfidi yetu inapwaya kichizi na difensi haina kodinasheni ya kutia moyo. hata hivyo nyanda ivo mapunda yupo imara...
fuatilia http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/6759819.stm
fuatilia http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/6759819.stm
duh! sasa sijui itakuwaje.
ReplyDeletedu na hapa tulishafungwa ila ni goli la offside aaa salalee...
ReplyDeleteMichuzi, nimepishana njiani na mtani wetu, yuko hoi bini taabani anapelekwa ICU.
ReplyDelete