jopo la makocha likiongozwa na kocha wa vijana toka brazil tinocco (shoto) wapo kuangalia vijana na kufanya uteuzi wa awali. toka kulia ni kitwana manara, syllesaid mziray na salum madadi. taarifa nilizonazo za uhakika ni kwamba mziray naye ni mdau na atafungua blogu ya michezo hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    Ina maana hawa wadau halambi kangara(Bia,konyagi)au mpaka usiku?Maana juu ya meza naona bambucha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    Hi Michuzi. Bora Super Coach aanzishe blog ya michezo maana TFF wanatuzingua. Hakuna updates za mara kwa mara ktk website ya TFF. Wengine pia wajitokeze watoe changamoto kwa wadau wa michezo, at least ushauri ufike kwa wahusika ktk namna ya wazi. Hata hivyo pongezi TFF kwa mashindano ya vijana, hapo mmeanza kuitikia kilio cha wengi ktk kuanza safari ya kweli ya kilele cha soka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...