kaaazi kwelkweli...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2007

    what the hell is this jamani???mmh mmekosa maneno ya kuandika ,uchafu gani huo ...Je ,mmiliki wa gari kaona kweli,basi naye bila shaka ana akili moja na Driver na Tan boy wake....kwa kweli ni hatari na inatisha sasa taifa la kesho wanajifunza nini???
    AMA KWELI eti JISHUZI LIMEPATA MJAMBAJI......oooh kazi kweli kweli ,heshima sasan ni ndogo jamani ...mbona kuna maneno mengi tu ya kuchekesha na wala hulipii ushuru kwa kuandika...kwa kweli ni uchafu mfute hapo na mtafute cha kuandika ama muache kabisa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2007

    Ukisikia BONGO ndo hii, karibu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...