Home
Unlabelled
kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa na mvua zote zinazonyesha sasa hivi hii itachukua tu siku kabla hujakuta handaki jingine kubwa hata kuliko hilo la mwanzo? Na sinasikia hizo kokoto wamachinga wanaziiiba usiku kwa hiyo nasikiaga hazisaidii. Mimi nilivyotembelea Tz karibu nilishangaa sana kuona handaki kubwa kwenye local road ya kuingia nyumba ya wazazi wangu yaani haya michuzi anayoonyesha moja moja hayafahi kitu. Huko barabara ipo lakini magari inabidi yapite kwenye curb kufikia yanapoenda kwa wingi wa mashimo yaani gari linaenda zig zag left and right. Nilisuggest kuwa ningeweza kulipia temporary fix ziwekwe kokoto lakini niliambiwa hizo siku ya pili yake ningekuta zimeshakwenda kufadhili mtu mwingine...ndiyo hali halisi ya bongo kwa kweli viongozi wanatakiwa kuchukulia hii hali hatua ya maana.
ReplyDeleteUHANISI MTUPU UNAENDELEA BONGO,TATIZO WASANII WENGI!
ReplyDeletekama budget ya hela hawajapewa wao wafanyaje...hela ya kutengeneza mapotholes hamna...jiji labda halikupewa au halijui kukusanya mapato yake vizuri ili vitabu vibalance...
ReplyDeletekasumba yetu tunajenga nyumba nzuri lakini hatuweki hela ya repair and mainatance kila mwaka...nyumba imejengwa miaka ishirini rangi iliyipakwa ikijengwa ndio hiyi hiyo mpaka leo...
hatujali kutnga hela ya maintanance kabisa.
Hivi hiyo ya udongo in cost shs ngapi na itadumu kwa muda gani? na Ya lami ita cost how much na ituduma muda gani? na reputation ya udongo versus ya lami ikoje? then tuamue tuna ziba kwa kutumia nini?
ReplyDelete