Nina kero, kuhusu hizi apartment zinazojengwa na wahindi hapa Dar es Salaam. Ina maana kwa hizo kodi wanazoweka za kuanzia Dola 1600 – 3000 wazawa hawatakiwi kukaa. Maana kwa kiwango cha mishahara ya wazawa si rahisi kuzilipia.
Kibaya zaidi hata kama uwezo unao ukienda wanakuletea dharau.
Mfano mimi nimerudi Dar na familia yangu; kampuni tunayofanyia kazi inalipia nyumba na bajet ni ya kulipia hizo apartment, cha kushangaza kuna matangazo ya kila mahali ya Chakechake street 299 (apartments) nikapiga simu kuongea na muhusika MUHINDI ambaye ndie mwenye jingo anafahamika kwa jina la (kapuni) .
Akanipa muda wa kwenda, nilipofika nikapokelewa na walinzi wakaniambia yuko juu summit nimpigie simu kumwambia niko chini akapokea na kuniambia subiri hapo hapo kwa walinzi, wakati namuona yuko juu na wahindi wenzie ambao niliambiwa ni familia yake.
Baada ya dakika tano akapiga simu yangu, nilipopokea akakata na kuendelea kuongea na wenzie muda wazidi kwenda, baada ya dakika ishirini nikaamua nimpigie aniambie atanionyesha saa ngapi ndani ya nyumba hizo; lakini simu ilikuwa imezimwa, ndio nikagundua kumbe alivyopiga simu alitaka kuona ni nani anaempigia na alipoona ni mzawa akadharau. Pia nasikia ni tabia yake muhindi huyo akiona waswahili basi hata kama unaweza lipia nyumba anakudharau.
Ina maana ni wazungu na wahindi tu ndio wenye haki ya kukaa kwenye nyumba bora na za kisasa?? Nisaidie kuitangaza kero hii maana tunachoshwa na hawa wahindi na dharau zao nchini kwetu, kama wanatuona si binadamu basi waondoke nchini kwetu warudi kwao India.
Mkereketwa.
Mkereketwa.
Hizi apt za $1600.00 - $3000.00 ziko bongo au wapi? kwani hiyo bei ni ya NY na L.A.
ReplyDeleteNinadhani TZ kuna sheria ya ubaguzi na kama hakuna inabidi tuombe bunge lipitishe ili tuwape somo wabaguzi. Kama hatu wa sue hawa wabaguzi hawawezi kujifunza.
Ndugu yangu uliyepata madhila ya Wahindi nakupa pole naona ulikuwa hujawahi kudeal na wahindi b4. Kwa kweli hawa jamaa wanadharau watu weusi duniani kote, sio wewe kama Mtanzania tu, bali ni mtu yeyote mweusi.
ReplyDeleteNi jamii ambayo huwa haipendi kujichanganya na weusi. Falsafa yao ya uchumi ni kujijenga wao kwa wao kama jamii moja. Hawataki wageni kufaidi uchumi wao.
Na sio wahindi tu, hata Wachina na waasia kwa ujumla. They are full of contempt for blacks, especially black africans. Wazungu wameshatudharau kwa muda mrefu kwa hiyo wengi wao sasa wako sophisticated na hawahitaji tena kuonesha dharau wazi wazi. Dharau zao zimefichwa ndani sana, ni mpaka ukijisogeza karibu sana ndio utaijua.
Ukitaka kuelewa zaidi jinsi biashara zinavyokwenda dunia hii kwa misingi ya kibaguzi soma The Capitalist Nigger (http://www.amazon.com/Capitalist-Nigger-Success-Spider-Doctrine/dp/0967846099)
Ni mwamko kwa weusi duniani kote tutambue kwamba kuwasujudia wazungu na wahindi kutatufanya tuendelee kuwa maskini.
Sasa ndugu yangu unayenyanyaswa kupata apartment kaa chini na washkaji zako na watu wa karibu tengenezeni plan jinsi gani mnaweza kutengeneza apartment za wabongo. Tengenezeni high class residential apartments na muwe na bei tofauti kwa wahindi au weupe na blacks
THE SILENT STALKER says....Pole kaka na matatizo yaliokukumba, sasa mimi i hav a soln 4 u, sio nyumba zote zinamilikiwa na wahindi mimi ninayo 1 nzuri sana na rent yake ni $400/month available mid JULY na mimi ni mzawa. Its big n a nice house ( 4 more details please do tell me i will send u my details so that we can communicate) I dont wanna talk more in here maana wasije watu wakachonga natumia MICHUZI as a Advertising place, I only want 2 help.
ReplyDeleteAdios
NINA JAZIBA MPAKA NASHINDWA KUANDIKA TENA TABIA YAO YA CHUKI NCHINI KWA WATU.NITAKUPA MFANO BABA YANGU ALIKUWA MTU MWENYE NAFASI SERIKALINI SASA SIKU MOJA TULIENDA LILE DUKA PALE NAMANGA NDIO KISUPERMARKET CHA MWANZO MWANZO MWENYE DUKA NI MUHINDI MUME WAKE MSTARABU SANA MKE WAKE ANAMDOMO MCHAFU SANAAAA SASA TULIENDA DUKANI NA DINGI KUCHUKUA VIDEO TAPES HAKUJUA MZEE NI NANI SASA ALIVYOKUWA ANAMUULIZA MEMBERSHIP SIJUI ILIKUWAJE TENA ALIMJIBU DINGI VIBAYA SANA BILA SABABU KAMA KAWAIDA YAKE .KUMBE MUME WAKE ALISIKIA NA ALIMFAHAMU MZEE NI NANI WALIVYOWANAFIKI WAHINDI KESHO JIONI MUHINDI ALITAFUTA NYUMBANI ETI KAJA KUOMBA MSAMAHA NA WHISKY NA UPUUZI KIBAO.MZEE ALISEMA HAWA SIO WATU NI WANYAMA HALAFU KESHO AENDE KUTANGAZA KWENYE COMMUNITY YAO YOTE NIMEMPA MZEE... HONGO.BAADAE TULIKUWA TUKIENDA LILE SHOP ANATUFANYA KAMA MUNGU.MIMI HOJA YANGU HAWA WATU WAFANYIWE KAMA SOKOINE ALIVYOWAFANYAGA AU IDD AMIN.
ReplyDeleteTATIZO LA BEI HALIKUHUSU KWANI KAMPUNI NDIO ITAKAYO LIPA.ILA WATANZANIA WAZAWA HAWAPAWEZI HAPO.
ReplyDeleteHAO WAHINDI NI MAGANDUS,MASKINI SANA HUKO KWAO NA KAZI YAO NI KU CHEAT SYSTEM KILA WANAPOENDA,ULAYA WAZUNGU WANAWATWISHA MABOX TU NA WANAISHI KAMA KUKU KWENYE NYUMBA MOJA USIKU NI KUJAMBIANA TU MIDOMONI.
lakini jeuri hii tunawapa thi thi wenyewe, so wa kulaumiwa ni thi thi na viongosi wetu uchwara.
ReplyDeleteKama tunataka maendeleo ya kweli tuache kuwa kandarasi etc, maana nguzo zote za uchumi wameshika wao, iwe insurance, iwe ku-supply sijui nanihi....., kujenga barabara, tunawaacha akina tutuntufye, atleast tuntufye atajenga atajenga hapo bongo, lakini wenzetu hao, wanazitorosha hizo faida to canada, uk , usa, goa, bombay etc.
na wakikupa rushwa wanaenda kuhadithiani ulivyo cheap.
kama yule wa whisky alivyo sema.
Mungu ibariki Tanzania....Mungu ibariki Africa....ni bahati mbaya tu sina uwezo huko serikalini....hawa wahindi, wachina na takataka zingine nisingependa kuziona bongo!...Tatizo ni wabongo wachache wanaowakumbatia hawa wahindi...wahindi hawapo polisi, hawapo TRA, hawapo mahakamani....na hawaendi jela!
ReplyDeleteInauma sana
Wahindi wanaamin katika didi yao kuwa ukiwa mtu mbaya sana leo miaka ijayo waweza zaliwa kama mtu maskini sana kama adhabu yako ya mambo uliyofanya nyuma.
ReplyDeleteHivyo waafrika ni maskini wahindi kwa imani yao huwaona kuwa ni vizazi vitokanavyo na watu wabaya sana wa hapo zamani ndiyo maana hupenda kujitenga nao.Na wakiamua kuwatumikisha huwa wakatili kwao sababu hawawaoni kama watu wa kuhurumiwa hata kidogo kwa sababu ni kizazi kitokanacho na watu wabaya sana wa zamani.
Hata kule India ukiwa maskini kazi unayo.Ndiyo maana wengi hutoroka India kukimbilia nchi zingine.
Waswahili tumezidi na wewe kwa nini uhangaike kutafuta Apartment ya Mhindi tafuta za waswahili wenzio uwape hiyo midola! After all biashara inazungumzika angekuandikia risiti na mkataba wa kupangisha dola 1600 halafu dola mia 800 za Hiyo kodi anayokulipia mwajiri anakupa wewe dola 800 anachukua.Wewe unafurahi kuka nyumba nzuri na mswahili mwenzio anafurahi kuliko kwenda kumlipa mhindi dola zote 1600 ambazo wewe mpangaji hupati kitu! Ok
Kujikomboa waswahili tupeane biashara mpe priority mswahili mwenzio tuinuke wote.
Nani anasema Nyerere hakuwa mwizi?
ReplyDeleteAlikuwa jambazi kubwa alitupora sisi wahindi mali zetu tulizozitokea jasho kubwa sisi na watoto wetu kwa kutaifisha ili asomeshee watanzania maskini wavivu bure na kuwatibia bure watanzania wavivu.
Huo ulikuwa wizi na ujambazi mkubwa.Huwezi sifia jambazi linaloiba eti limeenda saidia watu hivyo unalitangaza litakatifu kama kanisa katoliki linavyotaka kufanya.
Ndio maana wahindi roho ya huruma imetutoka kwa nchi hii tukipata nafasi ya kupora tunapora bila huruma iwe kwenye sekta yoyote.Tumeamua kulipa kisasi cha aliyotufanyia Nyerere.Alitupora lazima na sisi tupore.Nyerere hakuwa na huruma na mali za wahindi kwa nini wahindi tuwe na huruma na mali za nchi hii? Wakati watanzania waliandamana na kupiga makofi kumshangilia wakati anataifisha mali zetu.Sisi tulikuwa tunalia watanzania nchi nzima walikuwa wanacheka.
Sasa kilichobaki kwa wahindi ni Pora sana peleka Canada,Uk,India,Uswisi kisha hama nchi kwenda zako ukitosheka au ukiona hakuna cha kuendelea kupora.Hakuna haja ya kuwahurumia watanzania sababu hawakutuhurumia wakati mali zetu zinachukuliwa.
"AFRICA IS FOR AFRICANS".HAWA WAHINDI HAWAWEZI KUTUDHARAU KATIKA NCHI YETU,NA SASA NDIO WAKATI WA KUWANYOOSHA.MIMI NAFIKIRI TUFANYE KAMA WENZETU WA UGANDA WALIVYOFANYA MUDA SI MREFU.TATIZO WATANZANIA TUMEKUWA WAPOLE SANA NA HII TABIA ITAKUJA KUTULETEA MATATIZO HAPO BAADAE.TUSIPOKUA MAKINI HALI YA UCHUMI ITAKUA KAMA KENYA AMBAPO WAHINDI WENGI NDIO MATAJIRI AND CONTROLLING THE ECONOMY.WATANZANIA BADO HATUJACHELEWA.NAKUOMBA MICHUZI ILI SWALA ULIFANYIE KAZI KABISA KWA MANUFAA YA NCHI NA VIZAZI VIJAVYO,WANAWEZA KUTUDHARAU NCHINI KWAO AMA ULAYA LAKINI SIO NCHINI KWETU,HIYO NI FEDHEHA KUBWA SANA.HAYA YOTE YANATOKANA NA SERIKALI YETU KUJAWA NA WALA RUSHWA NA WATU WASIOKUWA NA IMANI NA WANANCHI WAKE,MIMI NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI WA WAHINDI WOTE WARUDI KWAO.IKIWEZEKANA JINA LA HUYO MHINDI LIWEKWE WAZI ILI IWE FUNDISHO KWA WAHINDI WENGINE.I AM REALLY PISSSED OFFF.....
ReplyDeleteREGARDS,
MWANA MAPINDUZI
...ndio maana inashangaza sana viongozi wetu wa kisiasa kila tunapokemea kuwa hawa jamaa ni wabaguzi, wanavyokazania kutuambia ati sisi ndio tuache ubaguzi!!!
ReplyDeleteAnon wa kwanza Bongo kuna apartments hadi za USD 3000 kwa mwezi. The housing mkt here is quite unexploited.
ReplyDeleteMfano zile apartment pale opposite na May Fair zilizinduliwa kwa USD 2500 p.m. zikajaa mara moja mpaka mmiliki akajilaumu kwamba alifanya bei chee.
Kubwa kabisa nenda Kinshasa, DRC ambako kutokana na vita ujenzi ulisimama. Sasa hivi apartment zinapangishwa kwa USD 5000 p.m.
Narudia, Kinshasa ni mpaka USD 5000 p.m.
All the best
Ubaguzi hautakwisha kama mkimfukuza Mhimdi. Cha umuhimu ni kuwa na umoja kiuchumi na kutunga sheria zinazomsaidia mzawa. Hata Marekani au Ulaya, yule mwenye fedha ndio anayesikilizwa na sheria inamlinda zaidi. Kwa mfano, ni vigumu tajiri Marekani kuwekwa ndani kwa kosa lolote kwa kuwa ana fedha ya kumpata mwanasheria mkali. Haya ni mazingira ya dunia, kumfukuza mhindi Tanzania sana sana italeta sifa mbaya kwa nchi, na watega uchumi watakimbia. Tijaribu kufikiria mbali kama anavyofikiri myahudi. Wazawa kila siku tunalalamika tu, hatufanyi biashara ya umoja, hatuchangi fedha na kuwa na biashara na mitaa yetu. Tunasubiri mgeni alete pesa zake na dharau zake, halafu tunakaa na kulia lia, kama tunataka maendeleo basi tuwe na umoja wa maendeleo, sio kufukuza wahindi, kwani umasikini utabaki pale pale kama hatuna umoja. Angalia mfano wa huyo Iddi Amini, hayo majumba na biashara za wahindi, ameweza kuziendesha? Mbona wanaitwa tena kufanya biashara na kupewa mali zao na Muzeveni? Angalia jinsi Zimbabwe inavyohaha baada ya kuwafukuza wazungu wenye elimu ya kilimo na fedha. Mashamba yao yanaoza, watu wao wanakufa njaa na kuliwa na simba porini wakikimbilia afrika kusini. Mungu amempa akili Mandela na hajawaua wala kuwafukuza wabaguzi, ameona mbali, anajua kama wananchi wake hawako tayari kuendesha uchumi wao kwa kuwa mkaburu aliwanyima elimu. Kwa hivyo, tujitahidi kujenga umoja wa kibiashara badala ya kupiga domo tu hapa kwa Michuzi.
ReplyDeleteNawakilisha, kama Michuzi akichapisha.
Huyu hapo juu anaogea pumba tu, sasa kama unajua huyu mhindi kwa nini usimtaje jina na vilevile kama unaushaidi hii ndio tunasema sema yote kwenye blog kama hizi au magazeti maana ndio maana watu wataosoma ukweli lakini kama ni majunguu kaa nayo kwako ndio tunaona kuwa wahindi wanafanya vitu vingi vya ajabu kuaribu lakini ni viongozi wetu pamoja na sisi wenyewe tunapenda kuwaona kama wao ndio waliojenga nchi na kumbe ndio watoa rushwa sana na sisi wenyewe ndio wapokea rushwa kwa ajili yetu binasfi pia hatuna umoja ila umoja wetu ndio umbeya fulani anafanya nini ? wanaume kama wamama kama ukimsaidia mtu mpaka kigoma watajua lakini wahindi kila mara wanasaidia mpaka mikopo na kama kuna mwezao kafungua duka au biashara ndio wote watamsupport lakini sisi ndio wivu jamaa , hata ringa au hakiwa na pesa hatachukua demu wangu hii ni shit kama demu wako kicheee na anapenda pesa uwezi kumzuia .... soma hii ndio 2007 na vitu kama internet ndio rahisi kueleza mambo yote na sio tu wabongo ndio watasoma hata world so sema huyu mhindi ndio nani ? au hii ndi umbeya ......plz michu kama mtu anakutumia any story kwenye blog yako halafu anasema mambo fulani bila ya kusema majina yao plz usiweke maana utakuwa sio jonalizi..
ReplyDeleteSijui hata nianzie wapi kuandika. Nchi za wenzetu watu wote wanaishi mjini na inakuwa rahisi kwenda popote kwa kutembea, hapa Tanzania ni matatizo town wanaishi wahindi walalahoi wanaishi hukooo Bunju na kuendelea ambako usafiri shida mpaka afanikiwe kufika ofisini ni saa 4. Kila kukicha mtanzania anazidi kugandamizwa, hivi kweli tutafika. Issue ya nyumba ni tatizo kubwa, mimi binafsi nashangazwa sana hata nyumba za National Housing kodi yake ni ya kuua mtu, kuna wakati nilienda NHC kuulizia jengo moja ambalo liko town nikaambia kodi ni $400 - $500 hapo halijaisha na limeshapangishwa wapangaji wote ni wahindi hebu niambie ina maana hata sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana, iweje mahali kama NHC kodi iwe kubwa kiasi hicho? Hivi wanafaikiri mfanyakazi mwenye kipato cha chini akaishi wapi wakati walipaswa kurahisisha maisha ya wazawa kwa njia hiyo. Kweli hii ni Tanzania Yetu. Nilitegemea shirika kama NSSF at least linaweza kusaidia hata wale wateja wao nako ni tabu tupu eti wanajenga nyumba kinyerezi huko mtu atawezaje kufika ofisini na kurudi kwanza ni mbali maji shida usafiri ndio usiseme. Kuna majengo kibao second hand hapa town kwanini wasinunue na kujenga nyumba za bei nafuu kwa wateja wao? Wabaguzi sio wahindi tu hata sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana.
ReplyDeleteMimi ni mhindi.Mteja akija dukani lazima umwangalie.Siyo tu suala la kuwa na hela tu.
ReplyDeleteMfano una hoteli kubwa ya kitalii ukaona kichaa anakuja amebeba furushi la uchafu na mkononi ameshika dola 1600 anaulizia chumba si rahisi ukamkubalia.Utaita askari wamkimbize na vizungu.Apotelee jalalani na hiyo pesa yake.Hadhi ni kitu cha muhimu siyo pesa tu kwenye hizo Apartment.
Labda tuone picha ya huyo aliyekataliwa tuione kama kweli ana hadhi ya kukaa Apartment.
Apartment siyo kama vigesti bubu vya Manzese ambako kila mwenye pesa aweza ingia!!!
Pole sana ndugu yangu. Yaani mimi wahindi siwapendi na nawachukia, hivyo sina hata cha kuandika hapa. Washenzi kabisa hao
ReplyDeleteje mmesahau madukani kwa vitambaa vyao? ukiingia kwanza wanakwambia taka nini....??? ukimwambia naomba kuona hicho , anashusha mara moja ya pili anasema toka dukani yangu....kweli wanatunyanyasa sana katika nchiyetu na viongozi wanajua haya fika lakini hawasemi kitu
ReplyDeletePili kungetakiwa kuwe na minimum salary kwa wafanyakazi wa nyumbani na makazini ambao hawana elimu....watu wanalipwa elfu 100000 kwa mwezi na bado serikali hata haisemi kitu
Pia wafanyakazi wa ndani na wa nje nao wafanye masaa 40 tu zaidi ya hapo iwe overtime....wanafanyakazi wa ndani wanafanya masaa mengi sana na pia wahindi wanapiga sana wafanyakazi wao na wala serikal
Serikali kweli ifuatilie hayo otherwise tutajitahidi tuandike barua amnesty international.
Hawa wana heshimu mtu na kutesa watu kwa class sana tu...
ReplyDeletesasa hivi kuna mhindi mmoja yupo jela na mkewe kwa ajili ya kuwatesa wakwao na kuwapiga
Hii tabia yao ya ubaguzi wameianza kitambo sana.
Soma hapa http://www.northcountrygazette.org/news/2007/05/24/federal_slavery/
SILENT STALKER umeniangusha kweli badala ya kusaidia na kutatua solution basi wewe unakuja na matangazo yako.
ReplyDeleteWabongo mnapenda dezo au hamjui kufanya biashara ndio maana hawa wahindi wanatumaliza tu.
Wahndi na wasouth wamekuja wakatusoma na kujua mind zetu saa wao wanavuna tu...kama hiyo nyumba ungeitangaza toka mwazoni huyu mtu asingekwenda kwa wahindi...Yaani mpaka aje huku na dukuduku lake ndio weew unapata akili ya kuonyesha nyumba yako. Nyumba ziko nyingi tu affordable lakini hamna anayetaka kuzitangaza.
Watazidi kutunyanyasa hawa watu mpaka tukome....Kama sisi kutoa hela ya tangazo ni shida sana basi wao wataweka matangazo na cost zake wataweka kwenye rent.
acha kulalamikia pembeni-kama umefanyiwa vibaya waambie kampuni yako wakutafutie sehemu nyingine. Kulalamika bila vitendo haitoshi, lazima kumtia hasara mtu anayekunyayasa.
ReplyDelete1. Mhindi ni Mbaguzi, sawa.
ReplyDelete2. Mzawa hana kitu nchini kwake, sawa.
3. Tuchukue mali za wahindi, sawa.
4. Hii ni nchi yetu sio Yao. sawa.
Subiri, tulishafanya hivyo na Sokoine na Nyerere. Iddi Amini alitutangulia pia kwa kuwafukuza wahindi. lakini tumefika wapi? Umasikini uko pale pale. wahindi wanazidi kutajirika, Wazawa wanazidi kulala na njaa. Labda sababu ya umasikini wetu ni uvivu wetu? Mhindi anatumia kwao, sisi tukiwa na pesa tunaenda ulaya, kata kibanda hatuna kijijini kwetu. Mhindi anatuma bilioni 10 dola kila mwaka, na hawa ni walala hoi wao hapa Arabuni. Sisi tunaend akutumia Bangkok na mademu. umasikini wetu ni kukosa akili ya kimaendeleo, lakini ni rahisi kumkaba mdosi na kusema ndio sababu ya umasikini wetu. Kama ubaguzi uko duniani kote, aamka na kafanye kazi badala ya kukaa kwenye internet cafe ya Mhindi, ukizidi kumtajirisha.
2.45 pm...wewe mhindi hapo juu you are so stupid...Yaani unatulinganisha na vichaa...huna adabu kabisa...yaani wewe subirini tu...sisi tunamaliza shule tukija huko uongozi ni moja ya malengo yetu na mtakiona cha mtema kuni...
ReplyDeleteMmesahau kwenu kulivyo ....better prepare now....kwa vile kama unatufananisha na vichaa na kuangalia hadhi...hadhi gani unayoitaka kama mtu aanweza kulipa...nyie wabaguzi sana lakini I am telling you...your days in our country are numbered. Nikija wala hatuwafukuzi lakini kodi tutamake sure mnalipa vizuri sana tu....
ubaguzi hautaisha kwa kufukuza wahindi au kuanzisha biashara zetu wenyewe,the one and only reason ubaguzi kama huu kuumaliza ni kutunga sheria kali na kuzienforce na si vinginevyo
ReplyDeleteHII NI KWA HUYU MPUUZI WA KIHINDI ALIYEANDIKA HII COMMENT HAPA CHINI
ReplyDeleteTarehe June 11, 2007 12:19:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
Nani anasema Nyerere hakuwa mwizi?
Alikuwa jambazi kubwa alitupora sisi wahindi mali zetu tulizozitokea jasho kubwa sisi na watoto wetu kwa kutaifisha ili asomeshee watanzania maskini wavivu bure na kuwatibia bure watanzania wavivu.
Huo ulikuwa wizi na ujambazi mkubwa.Huwezi sifia jambazi linaloiba eti limeenda saidia watu hivyo unalitangaza litakatifu kama kanisa katoliki linavyotaka kufanya.
Ndio maana wahindi roho ya huruma imetutoka kwa nchi hii tukipata nafasi ya kupora tunapora bila huruma iwe kwenye sekta yoyote.Tumeamua kulipa kisasi cha aliyotufanyia Nyerere.Alitupora lazima na sisi tupore.Nyerere hakuwa na huruma na mali za wahindi kwa nini wahindi tuwe na huruma na mali za nchi hii? Wakati watanzania waliandamana na kupiga makofi kumshangilia wakati anataifisha mali zetu.Sisi tulikuwa tunalia watanzania nchi nzima walikuwa wanacheka.
Sasa kilichobaki kwa wahindi ni Pora sana peleka Canada,Uk,India,Uswisi kisha hama nchi kwenda zako ukitosheka au ukiona hakuna cha kuendelea kupora.Hakuna haja ya kuwahurumia watanzania sababu hawakutuhurumia wakati mali zetu zinachukuliwa.
NINACHOSEMA KAMA KWELI WEWE UNAJIAMINI NA UNAPESA BASI WEKA HADHARANI MAHALIU ULIPO UONE KAZI TUTAKAYOKUFANYA PUMBAVU KABISA WEWE, HUWEZI UKAJA KUNADI UPUUZI WAKO NA KUTOA KASHFA KWA NCHI HII SASA KAMA UNAJIONA WEWE NI MWENYENGUVU KIPESA WEKA DETAILS ZAKO ZTE HUMU HUONE KAMA HATUJAKUFAGIA WEWE PAMOJA NA UKOO WAKO WOTE MLIOPO HAPA TANZANIA HUNA AKILI KABISA NA TUMECHUKIZWA NA ULIYOYAANDIUKA HUMU NDANI,, NA TUNAANGALIA UWEZEKANO WA KUPATA HIYO COMPUTER ULIYOTUMIA KUPOST COMMENTS ITS VERY EASSY TO CATCH IT IF YOU KNOW WHAT ICT IS..... GET READY STUPID
NAKUBALI KAMA KWAMBA KUNA BAADHI YA WAHINDI WANA MATATIZO YA KUBAGUA WAAFRIKA WEUSI, LAKINI HUYU JAMAA NDIO MMOJAWAPO KATIKA WATU WANAOWASAIDIA HAWA WAHINDI WAENDELEE KUTUAGUA
ReplyDelete-KWANINI USIENDE KURIPOTI HILI JAMBO KUNAKOHUSIKA KAMA KWELI UNAONA HAUKUTENDEWA HAKI?
-PAMOJA NA KWAMBA BLOGU YA MICHUZI INASOMWA NA WATU WENGI, SIDHANI KAMA YAWEZA KUKUTATULIA TATIZO LAKO, ISIPOKUWA INAWAFANYA WATU WAONGEE KWA JAZBA TU
-KUTOKANA NA UKWELI KWAMBA KAMPUNI YAKO NDIO ILIKUWA IKULIPIE HIZO DOLA 1,600- ZA KODI, NADHANI NI LAZIMA UNAKAZI NZURI SANA NA KISOMO KIKUBWA CHA KUWEZA KUJUA NJIA MUAFAKA ZA KUPELEKA MALALAMIKO YAKO NA SIO BLOGU YA MICHUZI
-BASI ULIPOAMUA KUTOA HAPA UNGETAJA JINA LAKO, ILI WATU WAWEZE KUTOA USHAURI KWA JINSI WANAVYOKUJUA
-YAWEZEKANA KABISA KWAMBA HII STORI IMETUNGWA TU NA SIO YA UKWELI (FICTION), KUTOKANA NA JINSI ULIVYORIPOTI SWALA HILI.
-LABDA NDIO MAANA WADOSI WANAENDELEA KUTUNYANYASA KWANI MTU ANAYELIPIWA KODI YA NYUMBA TU U$1,600- HALAFU HAJUI HATA UTARATIBU WA KUDAI HAKI YAKE, TUNATEGEMEA NINI KWA ANAYELIPWA MSHAHARA Tshs100,000 HADI 500,000?
-KAMA STORI YAKO NI YA KWELI, BASI ACT KAMA UMESOMA, FUATA NJIA ZINAZOELEWEKA NA SIO KUTUMIA BLOGU HII KUTOA MALALAMIKO YAKO.
DO YOUR HOMEWORK....AND GROW UP....
Mimi hao niliwatokea siku moja na kazi niliacha. Nilikuwa nafanya kazi kwenye travel agency hapo dar (mjini) as reservation clerk basi hiko kimama ambaye ni owner wa hiyo kampuni anatabia ya kugombeza na kupeleka wafanyakazi kama punda. Siku hiyo nilimtokea, nilimtukana na kumtupia makaratasi usoni mwake, nikabeba pochi nikaanza.Alitii akili, hawa mbuzi ni waoga wala msiogope lolote. Kinaniuma tu wale wafanyakazi wa ndani ambao wanapigwa wanabaki kulia tu, mimi ningewafua hao alafu tuone sheria itamtetea nani.
ReplyDeleteTanzania itajengwa na watanzania wenyewe. Kama tutaendelea kutupiana mpira tutaishia kupiga kelele hapa kwa michuzi tu.
ReplyDeleteVijana someni mrudi..... mewaachia wazee (wameshika uoongozi), wageni (wameshika biashara), wakimbizi (ujambazi).......tutafika kweli?
Huyu jamaa aliyetoa hoja tarehe 11 akijinadi kuwa yeye ni muhindi na kurusha matusi kwa Nyerere na sisi watanzania wote kwa jumla anaonekana anajiamini sana na anaamini anachokisema kwasababu ni mara ya pili anatuma huo upuuzi wake na matusi yake. Tunakuambia hivi kwakuwa umelianzisha mwenyewe nakudhani sisi watanzania wote niwapumbavu kama ulivyosema basi utalinywa...baabako!!!
ReplyDeleteNadhani wahindi wanafanikiwa sababu wanajua kutumia fursa zilizo wazi vizuri.
ReplyDeleteMfano wao hawana Tanzanite.Lakini kwa kujua kuwa Tanzania na nchi nyingine hazina wataalamu wa vidani iliamua kuwa na mji kule Jaipur India ambako kuna watengenezaji vidani wakihindi zaidi ya 15,000 walioendelezwa barabara katika fani hiyo ya kutengeneza vidani wanaotambuliwa duniani kote.
Hivyo Tanzanite kwenda India na wahindi kutajirika siyo kitu cha ajabu.Walijua Tanzania Fursa za kutengeneza wataalamu wa Vidani haiitutumii vizuri wakaamua kuichukua.
Wakiondoka utaua TAX BASE kubwa sana.Indian business community pamoja na matatizo mengi mliyoyataja inachangia sehemu kubwa sana ya eneo la kodi.
Tukiwatimua ghafla yatatupata ya Zimbabwe.Huwezi toa mlipa kodi mkubwa wakati huna replacement ya mswahili wa kuendelea kulipa kodi ya huyo unayemtimua.
Ni kweli kuna wahindi wakorofi,lakini si wahindi tu hata wazungu na waswahili wenzetu wako wakorofi.Kila case should be treated separately na siyo kujumuisha wahindi wote.
Hata muungano wa Tanzania na Zanzibar kuna wanaodhani hatuwahitaji wapemba,lakini wazo hili pia si sahihi sababu wapemba wengi ni walipa kodi wakubwa.
Ukiondoa wahindi na wapemba nchi itayumba sana upande wa mapato makubwa ya kodi sababu waswahili hatujajipanga vizuri kuchukua nafasi zao katika eneo la biashara kubwa na kuwa walipa kodi wakubwa.
Kwangu mimi nikiangalia faida na hasara za kuwa na wahindi au kutokuwa nao naona faida za kuwa nao ni nyingi kuliko hasara.
Wahindi wako hata waliopigania uhuru wa nchi hii akina Amir Jamal n.k.Na hata ukiangalia mikanda ya kudai uhuru utawaona wahindi na masingasinga wakiwa bega kwa bega na waswahili wakati wa kudai uhuru na kwenye mikutano ya hadhara.
Cha msingi tutafute nini kifanyike ili tuwe si tu na wafanyabiashara wakubwa waswahili bali tuwe na walipa kodi wakubwa waswahili vinginevyo hata mikakati ya uwezeshaji waswahili haitakuwa na maana yoyote.
Tuendelee kuwavumilia hadi uwezo wetu ukomae,Tuwavumilie na tuache jazba.
koloboi@yahoo.com
Mimi iposhangaa sana watu nalalamika bila ona tatizo ipo wapi,Watanzania wengi napenda kulalamika sana bila ya kuona na chambua mambo.Kama mtu nafanya bishara naweza amua nana teja wangu.Dunia yote hii kitu ipo,hajaanza tanzania tu,Mimi nakaa Canada,nakaa marekani,nakaa sehemu na miji mingi sana dunia yote,Hataviwanda gari vinatoa bidhaa tokana na jamii moja na ingine.Markert and Customer segmentation is the concepts which criticall prove that scenario.Kama sasa nyie nabisha basi haelewi uchumi na biashara.
ReplyDeleteCha muhimu sasa acha maneno na siasa fanyeni kazi kwa guvu zote,akili na maarifa kubwa.Singipenda kuonekana ananyanyapaa mutu yote bali anasema kweli yangu iliyopo.
Sasa kama yeye hajapata pale iko tapata sehemu jingine apangishe tu kwani hata sisi natofautiana kijamii ya ipo hindu,ipo baniani,ipo bohora sasa nashangaa nini,kama jamii moja hawezi kuja panga jamii nyingine.
Hivyo natoa shauri acha lalamiko lako bana,na kamma mtu nachangia hoja atumie akili na sio hoja jingajinga za siasa bovubovu.Najua keso mu atatukana mimi badala ya chambua neno yangu naandika hapa.Jaziba hili siyo mzuri kwani watu naona matuzi zinadondoka bila jali nasema na kuandika kitu gani
Mimi naona hiki kisa cha apartment kitupe changamoto ya kujenga zetu.Hasira si jawabu.Matusi na vitisho si jawabu.
ReplyDeleteSisi ndio tunanunua bidhaa kwao na kuwatajirisha.Kwa nini tusianze kususia bidhaa zao na kwenda kununua kwenye maduka ya waswahili wenzetu?
Ukuienda Kariakoo au dukani kununua bidhaa
,tafuta kwanza hizo bidhaa kwenye duka la mswahili mwenzio,ukikosa ndio uende kwa mhindi.
Wachaga tulifanikiwa sana kule uchagani kiasi kuwa huoni mhindi kule akiishi na kufanya biashara Kilimanjaro.
Mhindi alikuwa akiweka duka mchaga haendi kununua kwa mhindi basi wahindi wakajikuta biashara hawana kilimanjaro wakatimka matokeo yake uchumi na biashara mkoa wa Kilimanjaro ziko mikononi mwa wazawa wa Kilimanjaro hakuna cha mhindi kule.
Mikoa kama Iringa na Mbeya nako wafanyabiashara wa Kikinga walianza mgomo baridi wa kutonunua bidhaa kwa wahindi wakawa wanauziana kwa wao kwa wao kuanzia maduka ya jumla hadi rejareja.Leo hii wahindi kwenye hiyo mikoa unawahesabu walikimbia njaa.
Mhindi usishindane naye kwa matusi atakushinda,wana matusi ambayo mengine ukitukanwa waweza jinyonga.Mimi nimekaa nao India niliporudi ilibidi niombewe mapepo na mashetani ya matusi ya kihindi yanitoke maana nilikuwa nashusha matusi ya kutisha hadi baba mkwe akanikimbiza na rungu mchana mtaani akanikamata na kunipeleka kuombewa kwa nguvu nikiwa nimefungwa kamba na akawatishia waliokuwa wakiombea kuwa kama hawatayatoa hayo maruhani ya matusi niliyonayo ataua mtu na kubomoa kanisa.
Wahindi wenyewe wananyanyuka kutushinda sababu hata bei za jumla za kuwauzia waswahili na wahindi wao huwa nazo mbili.Kuna bei ya jumla ya Mhindi na bei ya jumla ya Mswahili.Bei ya jumla ya Mswahili huwa juu kuliko ya mhindi mwenzie.Sasa mkishindana tenda au bei ya rejareja yeye mhindi atakushinda kupata wateja wafuatao urahisi wa bei sababu bei ya jumla anayochkulia mali kwenye maduka ya jumla ya wahindi wenzie iko chini kuliko yako uliyonunua kwenye hayo maduka.
Ndiyo maana tunahitaji kuwa na mkakati wateja wapende maduka ya waswahili wenzao,na serikali ijitahidi kuwapa vitenda vyenye hela nyingi waswahili inaoona wametulia.
Pia hizo Apartment waswahili tunaweza jenga zetu.Tatizo si hela.Waswahili pesa zipo tatizo matumizi.Mtu unaona ana magari 4 ya kifahari ya milioni 200 au mia tatu pesa hizo zingeweza jenga apartment lakini mtu anaona heri atanue nazo.
Wajapani waliposhindwa vita ya silaha kwenye vita ya dunia waliamua kupambana vita ya kibiashara duniani na wameweza.Hawakutukana mtu walijitosa na wamweweza.
Makaburu walishindwa vita ya ubaguzi wa rangi,wakaamua kupigana vita ya kibiashara na uchumi Africa.wameshinda na sasa makaburu wanaitwa wawekezaji muhimu Afrika nzima.
Hakuna haja ya kuwatisha au kutukana wahindi tupigane nao kwenye biashara.Wao wako wachache sana watanzania wateja wa bidhaa zao tuko zaidi ya milioni 33 tukiamua kununua bidhaa za waswahili wenzetu wataondoka wenyewe kimya kimya kwani watasimama wee bila kuona mtu baadaye watakimbia nchi wenyewe au kuanza kujiua maana mhindi aki-frustrate kidogo tu wepesi sana kujiua au kuwa vichaa.
Huyo Mhindi mwenye Apartment tuachane naye.Tujadili tufanyeje tuwapiku kibiashara tuachane na upuuzi wa matusi na vitu vya kijinga ambavyo havitatui matatizo yetu hata tukivifanyia kazi.
Alafu kinachosikitisha wajajnja kweli …wanakuja Tanzania wanaomba uraia halafu wanakuja USA kwa kutumia visa zetu kwa vile kupata visa kutoka India kuja USA ni kasheshe sana….Kila muhindi kwenye 711 au gas station wanakopenda kufanya kazi basi wanakwambia nilikuaga TZ…
ReplyDeleteTutakuja tuwe viongozi soon….meshawazoe hao viongozi wa hapo mnakula nao meza moja…tunajifunza kupitia hizi nchi nini maana ya kuwa kiongozi mzuri….
ReplyDeleteMjue hii ni new Generation ...na awamu ya tano msiombe kuisiki maana itakuwa ya watu haswa.
KUWA NA WAGENI NI JAMBO JEMA. LAKINI INAPOFIKIA MGENI ANAAMUA KUFANYA ANALOTAKA HUYO SI MGENI TENA. HAWA WAHINDI NI KERO KILA MAHALI HADI WENYEWE KWA WENYEWE WANADHARAULIANA KWA WENYE PESA NA WASIO NA PESA.
ReplyDeleteMIMI NAMUUNGA MKONO ALIYESEMA, ATOKEE KIONGOZI AWAFANYE KAMA ALIVYOFANYA HAYATI IDD AMIN. wATIMULIWE WATAFUTE PA KWENDA
Tulivyoenda kuapply hizi passiport mpya bwana wangu nilishangaa sana kwa vile wabantu tulikua wachache sana kuliko wahindi.
ReplyDeleteNi kweli wengi sana wanahold pass zetu huku nchi za nje.
Tunatakiwa kuweka sheria kama mtu sio raia wakuzalia Tanzania ila ni wakuhamia ...basi akae hapo hapo bongo na kama ni kutembea basi akitoka sio zaidi ya mwaka nje ya nchi la sivyo anyang'anye uraia.
Bongo wanaandika tu kwenye gazeti so and so anaomba uraia mwenye kufikiria asipewe aripoti sijui wapi...That is bull shit
We need strong imigration rules
..JK..ANATAKIWA AHAKIKISHE HAWA WAHINDI WANALIPA KODI INAYOTAKIWA..ANGALIA VIPAJI VYA VIJANA WA BONGO FLAVA WAHINDI WANA WASAINISHA HOVYO. WATAKUJAKUONA MADHARA BAADAE..WEWE ANGALIA FLAVIANA ALIVYO SHUKA.. WAHINDI KIBAO AIR PORT NA PICHA MMEIONA HUMU NDANI..SASA HIVI WANAMTAKA YULE DIZAINA WA KIHINDI NDIYE ACHUKUWE MKONDO..hakuna mtanzania dizaina india..
ReplyDeleteSIRIKALI yetu inatakiwa kubeba some of the blame, nakubaliana na comments chache zilizotangulia kuwa inatubidi kujikwamua wenyewe, alakini serikali inatubana sana , ila hawa wahindi na other foreigners wanafursa nyingi mno katika nchi yetu! Tena kuna vioongozi wengine wanadevelop plot zao Oysterbay into apartments wakiwa wameingia ubia na wahindi...so what do we expect? Serikali inatakiwa kuweka mazingira ambayo yanawawezesha watanzania wazawa ku invest katika mambo kama property na mengineyo. Bila hivyo hatupati kitu tutabaki kulalamika tu
ReplyDeleteNyie tasema paka tachoka,sisi iko janja sana,akili la bishara anayo,kama nabisha basi wewe jinga,angalia kote duniani hii,sehemu ipo muhindi jia zote za chumi anashika yeye.Kama sisi takalia kutukana tu kwenye hii sehemu basi hakuna faida lolote la blogger,taipigia kelele na kufanyizia.Jamatini namab wani bana,acha hizo maneno zote natoka wapi.Kani mtu ngapi anapesa zake tz,mbona hajengi yeye maapartment,hivi hizo maneno zinawatoea wapi.
ReplyDeleteMuda imefika sasa kila taifa ifaidike,na ile mtu nasema Amini,chumi zake mbona zilidondoka ,hii raisi ya sasa ikawezesha kucompansate mtu zote zilizoibiwa mali yao.Amini alikuwa jinga tu ndio maana ikatolewa kwa guvu zote.Jamani nasema tena acha kelele zisizomaana dani ya wanja hii,kama iko hoja zurizuri leta watu ajadili,lakini Hidi zote ziko mbele daima kote ulimwenguni.
Wewe anoni wa 4;50PM kwanza wewe sio mhindi unaiga tu, halafu wewe ni matako sana, yaani na kunyanyaswa kote huko bado unawatetea hawa washenzi, sawa hata kama wana akili ya kibiashara ndio wawanyanyasie kwenu, uhuru wenu basi hauna faida kama mtakubali ubepari wa kihindi kuwapelekesha hivi, shame on you we annon, naona tabia yako ni kulamba matako yao hao wahindi, na pia usisahau kua attitude za watu kama nyie ndio zinawarudisha nyuma kimaendeleo, wewe ni mtumwa siku zote na utaendelea kuwa mtumwa, haya kula mavi yao basi si unaona sifa!!!
ReplyDelete