miss tz 2006 wema sepetu akiwa na waandaji wa miss kinondoni ambao karibuni watafungua pazia la kumsaka mrithi wa wema katkka michuano ya kanda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    Nyie atakaa sindikiza nzenu ndani ya shindalo.Angalia rembo iko sehemu nyingine duniani,sio naka piga siasa hata ndani ya marembo,angali lini nyie nachukua shindi,lakini Miss India has already been a Miss World.Acha bana neno yenu iko kila saaaa sema sema tu kama buzi ya shama nakleia meeeeeeee.Miss World hataki neno,kama anapewa Hasanali yeye andaa vazi watu piga filimboi nyingi,maneno zinawatoka kama chura ndani bwawa maji.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2007

    Hawa mama urefu umezidi mpk umeinama?(jokes).Kazi sasa 2lizeni akili mchague mrembo mwenye sifa na sio mambo yenu ya kila siku 2mechoka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...