miss tz namba mbili ambaye pia ni miss tmk joket akiwa na mwandaaji wa miss tz kanda ya temeke kisaka. huyu anatarajiwa kukabidhi taji la miss tmk na pia la balozi wa redds karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    BWANA BEN KISAKA, WEWE UNA UNDUGU WOWOTE NA YULE ALIYEKUWA KIPA WA SIMBA MIAKA YA 80, JAMES KISAKA?
    KAMA KWELI NDUGU YANGU MKAA HUO NAKUMBUKA JAMES ALIKUWA MWEUPE KAMA MZUNGU!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2007

    joketi umetulia nadhani ulitakiwa kuchukuwa nafasi ya wema sepetu,sipendagi penseli ila kwako hapana nimetulia tulii nakusubiri..............

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2007

    Huyu dada anafanana na kaka mmoja very cool sana anaitwa C. Magavilla. wana undugu?

    Keep well,

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2007

    Ee Bwana Michuzi, huyo ndiye Jokate Mwengelo au. Maana hilo jina limesifika sana lakini sura nilikuwa sijaona..kama ndiye nimekubali

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2007

    Jokate na Magavilla ni ndugu.Mtu na kaka yake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2007

    Thanks anon kwa kunihabarisha.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2007

    jokate u r realy cute.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...