Home
Unlabelled
klynn
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
She's cute!
ReplyDeleteNaona wameanza ku learn..kumbe blog ya michuzi inasaidia sana au atleast huyu makeup zake ziko poa leo...kwa vile bongo kwa kujiganda hayo ma make ups...
ReplyDeleteHey ladies ...remember women have used makeup for centuries, not only to improve their appearance, but also to make themselves feel good. Although the purpose of makeup is to enhance beauty, if it is not applied well, it will diminish a woman's natural beauty.
Sometime I see these women on Michuzi blog and would like to wipe off and reapply.
You must see your beauty and not your makeup.
Simple rules
Know your style, know your personality, don't borrow your friend's foundation or bronze
Wow, mwanamke mzuri saana, I love her gesture and skin.
ReplyDeleteWaswahili say something on the lines of "Si hoja sura, bora tabia..." and hii ni kweli kuhusu huyu dada - na i am not talking about relationships bali tabia mbaya ya kudharau watu.
ReplyDeleteThen kuna issue ya kuimba - kusema kweli kuimba kupitia pua is not singing - maybe Klyn ungeangalia to do something else maana you aint going far with this one - and hata ukifyatua rekodi mia kwa mwaka, hamna kitu - jaribu kutafuta fani nyingine - sio lazima kitu kitakacho kufanya famous - labda fani yako ni katika kusaidia watu - meantime, be kind to people na milango itafunguka - si uonevu huu - ni being cruel to be kind ....
Anon hapo juu, acha ROHO MBAYA! Kila kitu its all about trying! Watu wengine....Iam so annoyed kwamba in this century kuna watu..ambao bado kazi yao ni kukatisha tamaa wenzao! Thats unfair.....
ReplyDeleteMdau hapo juu huelewi kwamba music is about taste. Huyu binti kazi yake imetulia. Kili Awards ambayo hupigiwa kura na wananchi wa kawaida huyu bibie alikula chati.
ReplyDeleteKuhusu tabia yake binafsi, sijui kwasababu simjui. Ila muziki wake naukubali.
Mkubwa ulijependekeza ukashushuliwa nini? Au uliingia kwa gia ya Bajaj?
michuzi naomba utuletee picha ya yule presenter ya sijui ITV anaitwa Irene.
ReplyDeleteBasi tupeni link online au some site tupate kununua hizo CD za Bongo.....natafuta ya huyu Dada Klynn, Matonya and some some....TUNAOMBA link au site....
ReplyDeleteSidhani kama huyo anon ana roho mbaya, ila anaongea kutokana na experience yake. Klynn, ni msichana mzuri, only if tabia yake ingeendana na beauty aliyonayo (I'm also not talking about her sexual relationships). Mimi nimeshawahi kukutana nae mara moja tu na hakuacha impression nzuri kwa bahati mbaya (as we all know, the first impression always lasts). We were walking on opposite directions and she almost bumped into me; I don't know if I am too invisible, or maybe I was supposed to cross over to the other side of the road so that Her Royal Highness apate enough space ya kutembea?? Anyways, nilishangaa. I still like her and her songs a lot(though as anon said hii ya kuimbia puani inaboa kiasi fulani), I took her CDs when I was coming up here, and have absolutely nothing against her. Beauty is in the eyes of the beholder, so in the end, we all look beautiful to the people concerned with us. Oh, and I am a woman by the wayz.
ReplyDeletekusema za ukweli mwanamke yeyote mzuri ukisha kuwa mjivuni na dharau uzuri wooote unakuwa giza nawaunga mkno na miguu kwamba hajui kuimba vizuri hata sanjaya ana nafuu iwouldnt by her Cd na nyimbo zake ni za mabwana tu nothing like jide
ReplyDeleteK-lynn full kicheche huyo msimuone anavutia tu.
ReplyDeletekwani huyu dada kabila gani?
ReplyDeleteJaq ni muha kwao Kigoma
ReplyDeletesio mha bwana,ni mnyamurenge pyua.
ReplyDeletehivi huyu mtoto keshaolewa?natamani nimnyakue ka tai niambae naye ughaibuni,yes watasha waanikoma!
ReplyDeleteMichuzi na wdau wa blog hii habari nzenu!Ni kweli dada anavutia kiasi flani haswa akijibwedeka ma make up yake!Ila hana tabia nzuri kabisa wajameni na ana dharau sana tofauti na wana music wanaojua kuimba.Ona wakina Jide,Ray c,Izi bend wanavyocheka na wteja zao na wanafanikiwa ivi unajua sisi tunao sikiliza kazi yako ni wateja zako ww binti?ACHA DHARAU,tutakuwa hatununui kazi yako na utaendelea kutoa Album tu mpaka utachoka ila kazi yako sisi wala.Jirekebishe mwanawane,usiwe kama mdebwedo.kudadadeki.Mkandamizaji!
ReplyDeleteMmmm! Kwanini huyu sista duu hafanyi ziara ya hapa USA, kama ana ka-attitude atakoma ubishi kwani hapa watu tuna attitude, atatia adabu na kama anafikiria ni mzuri ndipo atakapojua kwamba hapa kuna warembo mpaka utachoka mwenyewe.
ReplyDeleteAcheni kumchambua dada wa watu, Aliyesema anaringa jamani ni mmbaya wake alimtoa knock out kwenye game ya ma..na. sasa lazima amkandie si unajua ukienda bagamoyo kwa babu lakini bado unashindwa lazima utumie upondaji.
ReplyDeleteKlynn ni msanii mzuri na hana majigambo wala nini na anajua maana ya kazi, tatizo la wabongo wakiishaona msanii mrembo wanataka kumfanyia usanii mpaka mwili akiwa stable wanaanza siliba.
Klynn usisikie kelele za mlango...
Fanya kazi unakubalika sanaaaaaaaaaa
Mimi nimeshawahi kukutana na klyiin na niliongea nae na sikuona kama ana dharau yeyote labda tu ni mpole.Namimi binafsi napenda sana nyimbo zake na watu wengi sana wanampenda nafkiri maoni ya wengine ni chuki binafsi tu!
ReplyDeleteSo many haters!!hivi watu mnamchukia mtu bila kumjua huyo dada wala haringi.Nyimbo zote alizotoa zimekuwa hits tunazisikia redioni kila mara.Waswahili tujifunze kujenga sio kubomoa na kukatisha wenzetu tamaa
ReplyDeleteshe is a true star,so cute and proud and very talented.huyu angezaliwa nje angekuwa mbali sana maana huko kwa wenzetu wanafuatilia na wana apreciate talents za wasanii sio kama sisi kazi tu kuona wivu.
ReplyDeleteklyinn wala usiwasiklize hao wewe miziki yako ni bomba na unakubalika.kaza buti
ReplyDeleteGOOOOSH SHE IS SOOO DAMN BEAUTIFUL,WISH I COULD EVEN KISS HER HANDS
ReplyDeleteWewe hapo juu unanishangaza sana eti klyin anaimba kuhusu wanaume tu kwani huyo rayc anaimba nini zaidi ya nyimbo za nakupenda kila siku,jamani acheni chuki za wazi ndio maana hatuendelei.
ReplyDeletethis girl rocks,keep it up.where can i buy her music?
ReplyDeletekaka michuzi hivi nitapata wapi cd ya klyinn napenda sana nyimbo zake
ReplyDeletehuyu binti ni bomba sana na kipaji anacho kweli mungu kampendelea
ReplyDeleteJamani mwenye haki mpeni huyu dada anaimba vizuri na sidhani kama anaringa mbona mimi na rafiki zangu tulikutana nae tukamuongelesha akawa mchangamfu sana tu
ReplyDeleteConcluder huna lako - kama huyajui kaa kimya. Huyu Jackie ana roho korosho - si uvumi wala roho mbaya - kila aliepata bahati mbaya kukutana nae anajua. Wengine mnasema ati maana ni mzuri basi wadau wanamwonea wivu - Ray C mzuri, tena ana shepu - mbona hatujamsagia? Kama mnampenda semeni tu mnampenda hata kama imba yake ni taka tupu - lakini waacheni watu waponde kwani kila mtu ana huru na maoni yake - Haki Elimu!!!!!!
ReplyDeleteNyimbo za wanume za Ray c ni za nakupenda za klyn
ReplyDelete1. nikipata wangu sitaki mtu amshike mkono
2. besti umeniibia bwana wangu
3. kamani penzi utapa ukimwacha
4. im crazy over you acha vituko
5.wimbo alioimba na bushoke ni mzuri sana ila kasema hataki mabwana wanojua kuforce
kwa hiyo maudhui yake yana chezea palepale kama ni mkongwe aimbe mapenzi positively na apanue wigo wa sanaa yake otherwise anajibrand vibaya. vile vile mwambie aimbe acapela uone utakavyo ziba masikio
haki Elimu wewe ndio nilkuwa nakutafuta, baada ya kuona maoni yanabadili muelekeo umekuja kusiliba eee. Kwa taarifa yako kila mtu hakosi wabaya kama ambavyo wewe ulivyokuwa mbaya wa Klynn lakini kumbuka Huyu binti yupo juu hata useme nini yaani utaishia kusiliba humu kwenye mtandao lakini binti anapeta tu.
ReplyDeleteWe acha chuki binafsi hata kama alikupiga KIBUYU ni kwa sababu aliishakuona una sura mbaya na roho mbaya kuliko hata ya SCARFACE.
Klynn wengi tunakupa tano fanya kazi unakubalika kwa sanaaaaaaaaa
achana na watu kama Haki Elimu a.k.a Roho ya Kutu.....
nakubaliana na concluder,klyinn ni mzuri na anaimba vizuri sana acheni wivu kwanza watu tunapenda sana nyimbo zake,ametoka mbali tokea enzi za tanzanites kama angekua hajui kuimba asingekua hapa.
ReplyDeletenampenda sana huyu dada kuanzia anavyovaa,kuimba mpaka tabia nyie mnaomsema vibaya mtakua hamjui.klyinn mwaya usijali maneno ya kipuuzi,endelea na kazi nzuri
ReplyDeletecutest celebrity in bongo
ReplyDeletejamani mpende msipende klyinn ni bomba na anaimba vizuri,msiompenda ni wachache
ReplyDeleteConcluder et al, kila mtu ana haki ya kutoa maoni kutokana na experience yake; please dont be judgemental on other people; I'm trying not to be judgemental on you. It's really up to her; if she wants to take these comments and work on herself, so that she becomes a much better person. Otherwise, hakuna mwenye wivu hapa mpenzi. Most of us are educated people with good life, beautiful families and bright future. PS: I'm the one who almost got bumped by her and, believe me, I was giving my honest opinion. Thank you ladies and/or gentlemen.
ReplyDeleteBy the ways uzuri wake unaishia kwenye sura tu, if you ask me I would say Ray C is 10 times more beautiful than this skinny creature. Ray C has a womanly figure baby! Wapambe mtanisamehe, these are honest opinions.
ReplyDeleteShe is soooooooooo cute ! ! ! Malaika walijituliza walipokuwa wanamuumba..I will not hesitate to pay Shillings ONE MILLION just to have dinner with her. I mean DINNER.Msiwe na fikira mbaya yoyote ingine.
ReplyDelete