bongo selebriti wa safari hii ni masoud kipanya a.k.a kp. soma intavyuu yake www.bongocelebrity.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    Celebrity wapi..mzinzi tuu..anatumia jina lake kupata mabinti..he aint got mannerz..nicca plz stop it

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2007

    NABOONYEZA KIZENJIII...MDEBWEDOOO!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2007

    baba Malcom siku hizi unatumia mkorogo! acha ndugu yangu.
    NOPE

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2007

    kipanya anaoa kila siku michuzi! kijana talented sana ila mambo ya mahusiano 0.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2007

    JOTI! KUDADADEKI!! by the way, mdebwedo maana yake nini? watu wa zenji wanisaidie

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2007

    michu sasa nahisi wewe umekula na gavana.Mbona hutumi hizo habari za bilali,lukaza,somaiya na wengine.

    mimi nachukia sasa.Asante kipanya.Naona umetukumbusha tena suala la rada.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2007

    ndugu wadau,habari nilizozipata ,looks like dada yetu amina chifupa is seriously sick.naomba tumuombee mola amrudishie afya njema,please.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2007

    ee bwana eeh..KP interview safi sana,nimeisoma.Jamaa wa BongoCelebrity.com wana maswali mazuri na wewe umeyajibu poa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2007

    Ni kweli Mh:Chifupa is sick?Michuzi lete habari zake,Mh ana moto nini na yeye?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2007

    Hata mimi nimesikia amekuwa mwehu wa kuvua nguo kabisaa sasa sijui ni ugonjwa wa mungu au wa binadamu tumuombee dada yetu kwani sisi wote ni wakosefu msimseme sana anahitaji maombi walimwengu ni wabaya sana

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 23, 2007

    Amina Chifupa nilimwona siku ya kwanza ya bunge hili la bajeti ya mwaka huu alikuwa anatabasamu muda wote na alipendeza sana. Sasa ghafla nikashangaa haonekani na kweli tetesi za kuwa amekuwa kichaa zipo. Sijui kimemtokea nini dada huyu. Michu hebu tuletee taarifa zake. Tunampenda na hatutapenda kusikia amechanganyikiwa kwa matatizo yaliyotokea kwani ni ya kawaida sana ingawa ni magumu kuyakubali mapema.
    NOPE

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 25, 2007

    UNYANGÄNYI WA SILAHA TANZANIA.

    Suala hili ni kwa kweli ni kero na linazidi kila kukicha. Wakina nani wanahusika, na wanatoa wapi silaha hizi? Swala gumu sana, ile wengi wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Mimi kwa maoni yangu nafikiri hata hawa wamiliki silaha kihalali pia wanaweza kuwa wanahusika kwa namna moja ama nyingine (sina ushahidi ieleweke. Manake unakuta mtu wakati anapata kibali cha kumiliki silaha kweli alikuwa na uwezo (pesa), na alihitaji kujilinda kama inavyosemekana, na bahati mbaya, kadri siku zinavyoenda pesa zikamuishia, na yeye anahitaji kuendelea kuonekana anazo, hivyo anakodisha silaha kwa wahalifu na wakipiga kazi wanamkatia cha juu, wakikamatwa huyo anaenda kuripoti polisi amepoteza silaha, mazingira ya upoteaji wa silaha na lini sijui huwa wanasema vipi huko, nahisi Polisi pia kutakuwa na uzembe fulani kushughulika na taarifa hizi za upotevu.Suala lingine ni pale huyo mmiliki wa silaha kihalali ikatokeea akafa, juhudi gani zinaafanyika kuhakikisha silaha aliyokuwa akiimiliki haiangukii mikononi mwa watu wabaya, ambao baadae wataitumia katika uhalifu? Hapa pia kuna uzembe, sijui nani alaumiwe katika hili. Nafikiri idara husika na utoaji wa silaha inadii ijizatiti na kutafuta namna kuhakikisha kwanza watu wanaomoloki silaha wawe na sifa (kutokana na mwongozo wao), na endapo mtu huyo atapungukiwa sifa hata moja, hata baada ya kuwa tayari anamiliki silaha, ikiwa ni paamoja na kufilisika (kama inawezekana kufatilia suala hili), basi na anyangánywe silaha, si hastahili jamani?,Kiundwe kikosi ama timu maalumu ya kuwwa iinafatilia wamiliki wote wa silaha, ili hata akifa, basi irudishwe sehemu husika, unless kama kuna sheria inasema mtu anaweza rithishwa silaha!

    Naishia hapa, wadau wengine wanaweza kuja na maoni yao na hata mapendekezo ya nini kifanyike.

    Mungu ibariki Tanzania.

    Natoa hoja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...