leo lazima afe mtu hapa. jk ndani.... acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2007

    kaka misupu, nakushukuru; naona mapema umeaza kutupeleka mwanza, safi sana!! ila mimi sina wasiwasi sana kuwa tutawang'oa senegal leo!! kubwa zaidi tusiruhusu goli dakika za mapema, na tucheze mpira kasi na kujaribu mipira golini otherwise ushindi tutausikia jina tu.... mungu ibariki Tanzania.. amin

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2007

    huu uwanja sijui kama tunabahati nao?? ila nakumbuka nilipoingia mara ya mwisho nilipo kuwa mwanza , simba iliwafunga watani wao kwa bao mbili kwa bila nafikiri kaka michuzi unakumbuka, ilikuwa burudani...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2007

    taifa stars vs. senegal live 6115 georgia avenue,north west washington,dc 8am. saturday.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2007

    Issa Hongera watoto wako wamekuwa wakubwa kweli..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2007

    TANZANIA 1 SENEGAL 0

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2007

    jamaa wamerudisha bao
    TANZANIA 1 SENEGAL 1

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2007

    Kweli kabisa. Wa kushoto Ali Issa Michuzi na huyo wa kulia sijui jina alimpa jina gani. Ali anaoekana bishoo kweli ana t-shirt yenye flag ya US. Uzalendo umemshinda!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2007

    Kumbe una watoto wazuri hivi. Tuonyeshe basi sura zao acha uchoyo. Hatutasema lolote by the way you have all the rights to ignore those big mouth people so do not worry that much.

    Hata my wife wako tungefurahi tumpitie jichoni basi...acha roho mbaya...

    Wengine tukiwa bongo tulikua tunakusikia sana tu kwa kuona picha zako kwenye magazeti. Sasa kwa ajili ya blog umekua like a part of our family or just like a big household name now for us. You just don't know that lakini kila siku lazima tunadiscuss vichache ulivyoviweka humu na familia yangu. Kama mmoja amesoma blog yako wengine hawajasoma basi ni kuhadithiana tu nini kipya.

    So think about that tuonyeshe basi familia yako?

    Thank you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...