meza kuu ya maharusi. mpambaji anaitwa monica - hana mshindani bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. safiii sana huyo kama monica i think ni aunty yangu monica dmello basi mjue upambaji uko kwenye damu, helooooo!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2007

    we Issa na monica D'mello mko vipi mbona unamfagilia sana???????
    by the way huu ni ukumbi gani? ni Diamond?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2007

    Yeah kamua kamua dada. Sijui wanye kusema mapambo ya Tanzania watasema nini leo.

    Kumbe bongo ni hela yako tu siku hizi...this is the way to go..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2007

    We Aisha hapo juu wala usijishebedue kama kishampenka. huyo mpambaji ni Monica Makundi wa british airways na wala sio huyo dnani wako sijui. Mi nilikuwepo harusini na nikamuona akifanya kazi. Ukumbi ni diamond jubilee VIP hall. ule mkubwa unafanyiwa ukarabati.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2007

    Jamani mbona mnatuogopesha ambao hatujaoa? no wonder watu wanataka michango ya mamilioni! Duuh...Aise kwa kweli kazi ipo....

    ReplyDelete
  6. Wadau, naomba mnisaidie, mimi nina mpango wa kuja kufanya ndoa bongo, nimefurahishwa sana kuona kama bongo mambo yapo, ni hela yako tu, kwahiyo ningependa details za huyu Monica. Kama ni email au namba ya simu, ningependa kuwasiliana nae kwa njia yeyote itakayowezekana, na haraka iwezekanavyo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2007

    Nimeshawahi kuhudhuria harusi kadhaa ambazo zilikuwa na mambo/mavazi ya kiutamaduni kama vile nguo za kimasai, vibuyu nk. Sasa hivi viti hivi kwa nini tusitukuze utamaduni wetu tukaweka viti vya marimba/mkao wa nyani pale au hata maharusi wakakalia vitanda vya kamba vya "teremka tukaze?" Kwa nini mnapenda kuabudu na kutukuza vitu/utamaduni toka nje. Hivyo viti vya Spain, Italy vya nini? Wacheni hizo!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2007

    huyo si monica demelo ni monica makundi wa british airways infact huyo demello hapambi anafanya mambo mengine. kwa kweli m. makundi is the best mpambaji na mpika keki bomba. amejaliwa ni pesa yako tu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2007

    Sir Issa PICHA SAFI..IT'S OK BUOY..

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2007

    michuzi kama unaona soo kutupa namba yake ya simu au email basi tuelekeze alipo tujue pa kumpata manake nini maana ya adverisment kama unamadverise bila kutupa contacts??

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2007

    Michuzi ,

    Kusema tuu huyu dada anaitwa monica bila kutoa contact aitoshi ...tupe contact zake tumtafute huyu dada ..

    Naomba kuwakilisha

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2007

    Bwana Michuzi huyo mpambaji kweli ni kiboko, naomba nipate jina lake kamili na address yake, namba yake ya simu. Nina mpango wa kuoza binti yangu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2007

    Mbona comments zangu huziweki kaka Michuzi? Ama I've told the truth about this lady na hutaki watu wajue ukweli? Be fair, sometimes the truth hurts but nethertheless it still needs to be told and heard.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...