sina uhakika kwa nini sehemu hii ya kijitonyama pakaitwa 'maji machafu' ingawa ni kituo kikuu cha malori ya kubeba 'maji masafi'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

 1. AnonymousJune 12, 2007

  Michuzi hiyo maji machafu ni sahihi, kwani magari mengi ya kunyonya maji machafu yanapaki hapo. Sasa kama unavyojua biashara inaangalia upepo, baada ya kuongezeka shida ya maji basi na magari ya maji safi nayo hupaki hapo kusubiri wateja wanaotaka maji.

  ReplyDelete
 2. AnonymousJune 12, 2007

  THE SILENT STALKER says......Zamani palikua na Malori ya kubeba maji Machafu....

  ReplyDelete
 3. AnonymousJune 12, 2007

  Sehemu hii ndipo ule mfereji wa MAJI MACHAFU ya University,K'nyama na Sinza unapita mithili ya Mto unanaelekea kwenye Mabwawa ya Maji Machafu...

  ReplyDelete
 4. AnonymousJune 12, 2007

  heri ndugu hapo juu umetaja bwawa , inaelekea wengi humu wageni. halafu wanapenda kuchonga,.....pumba tupu !

  ReplyDelete
 5. AnonymousJune 13, 2007

  Sir Issa Lugha ya picha hii..."NCHI YETU INAJITAHIDI KWELI KUHAKIKISHA BAADHI YA WANANCHI WANAPATA MAJI KWAMATUMIZI MBALI MBALI".."..KAMA SIKOSEI HAYO SIO MAJI YAKUNYWA NA KAMA NI YA KUNYWA BASI WIZARA YA AFYA ITAKUWA IMESHAYAFANYIA UKAGUZI MZURI, HAYO MANTENKI PAMOJA NA HILO ENEO.. BILA KUSAHAU UHARIBIFU WA MAZINGIRA..(LAKINI mmm ????)"..:((((

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...