mhadhiri mwandamizi prof. mbilinyi akiongoza kwaya. picha nimepiga usiku bila flashi, na kutegemea lepe la mwanga wa video utokao upande wa pili kama ramani ya kufanya taswira ionekane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    Michuzi bwana, utukutu tu mwingi!! he he..

    Nakuomba tu ujifunze kutumia Adobe Photoshop au nyingineyo inayofanana.. utafanikiwa hizo effects unazotaka na kuepuka kujigonga kwenye madawati ya kukalia gizani! he he

    Nakupa BRAVO kwa utundu hata hivyo... quite impressed!

    SteveD.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2007

    Michuzi wewe ni mpiga picha mashuri. Yaani ungekua huko majuu mbona yule mtoto wa Anna Nicole smith saa hizi ndio angekua wako....Yule camera man hata picha zake hazifikiii robo ya hizi zako lakini saa hivi ndio kashakua power name.

    Mwangalie Govoner wa Califonia alijua akinyanyua vyuma huko Austria ...mpaka leo angenyanyua hivyo vyuma mpaka basi tena ndio maana akakimbilia US ....it is not too late for you....You are so talented...Ukistaafu anza career yako huko ....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2007

    Jamani, jamani, jamani, jamani, sasa Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia ndio vitu gani? Sisi wengine hatuvijui! Na kama mwavijua wengine sisi havituhusu!

    Eti, Anna Nicole smith NA Govoner wa CalifoniaAnna, Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, Anna Nicole smith NA Govoner wa Califonia, SOO WHAT!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2007

    Michuzi, naomba unijibu nitakalo uliza hapa tafadhali.

    Je, ni aina gani ya film iliyo ya kiajabu sana unayofikiri umewahi kutumia...naongelea film speed hapa, mambo ya ISO400 na zaidi au criteria nyingine tu ...

    Nitashukuru pia kama utajibu kwa nyongeza na kueleza aina ya camera ya kiajabu ufikiriayo umewahi kutumia.

    Nina zawadi moja ya kukupatia ambayo inaweza kuonekana ya kiajabu kwa maisha ya Kitanzania lakini kwa wanao angalia michezo ya Wajapan wataona ya kawaida!!

    SteveD.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...