mdau mwandamizi wa ukerewe adam akinikabidhi nondo za bwawa la maini mara tu baada ya kutua dar. bahati mbaya mara tu baada ya tukio hili alipokea simu kumwarifu kwamba bibi yake mzaa mama ametutoka. pole sana mdau adam na Mola aiweke mahala pema peponi roho ya mpendwa bibi yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    Sawa ADAM nimekubali Mpaka umefungia safari kweli wewe na Michuzi "U ALWAYS WALK WITHOUT TROPHIES" Lakini si mnajua Chama MAN U tulivyofanya usajili wa KUFA mtu tumebakiza Striker tu (£50 Million for 3 Players already Owen,Nani n Anderson) we are going for 4 cups next year jiandaeni ...... Benitez amesusa anaondoka New owners wamegoma kutoa hela, poleni .....

    Mshamma (meet u @ fb)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    Bwana naona umekua mjanja mbona picha umezipunguza kwanza ndio unaweka huku?
    We nee your high pix picture tuone mpaka neno la mwisho

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2007

    umeshasahau kuwa LFC imechukua ubingwa wa uingereza mara nyingi kuliko timu yoyte, na imechukua ubingwa wa ulaya mara nyingi kuliko timu yoyote ya Uingereza. Fact, MANUTD wamechukua FA Cup mara nyingi kuliko timu yoyote Uingereza. Ntaendelea kuwakumbusha kila inapohitajiaka, asanteni sana !

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2007

    Mheshimiwa Issa..HABARI ZA LEO KAKA..MPE POLE MFIWA MUNGU AIWEKE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU..AMINA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2007

    Michuzi, napenda kutumia blog yako kuipongeza TVT kuanza rusha hewana Ligi kuu ya UK.Japokuwa sipo Home lakini nimefarijika sana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2007

    Premieship ilianzishwa kutoa upinzani na kupata bingwa anayestahili tofauti na ile division one ya zamani ambayo Liverpool waliwin.
    Hata UEFA walianzisha Champions League kwa sabababu hizo.Ndio maana MAN U chama kubwa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2007

    Adam tumeshakupa salam za pole in person ila si vibaya kusema tena INA LILAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...