huyu si mwingine ila ni ras nas a.k.a nasibu mwanukuzi ambaye ni mwanamuziki wa kibongo anayetesa huko oslo. anategemea kufyatua album ya pili ibebayo jina la 'dar es salaam' ambayo kawashirikisha mpiga bezi wa njenje keppy kiombile na norman bikaka wa shada band. albamu hiyo mpya ya ras nas inatarajiwa kutatoka kabla ya tamasha la Oslo Mela mwezi agosti mwaka huu. kwa zake zaidi cheki mtandao mtandao wake hapo chini ambapo kuna video (za 2005) pamoja na nyimbo (Live at NorwegianBroadcasting Corporation 18th April). Kipindi hiki kitarushwa hewani 23rdJune.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...