
afisa wa wakala wa ndege za serikali akitoa maelezo kwa wanafunzi waliotemblea banda la wakala huo leo kwenye maonesho ya wiki ya utumishi wa umma inayohitimishwa kesho ambapo jk atakuwa mgeni rasmi. watu wengi walipigwa na butwaa kusikia wakala huo unakodisha ndege zake na sio kwamba ziko kwa ajili ya rais na viongozi pekee
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...