nimepita tmk leo na kukuta kamstimu ketu bado kapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2007

    kwani chakushangaza ni nini? yalifukuliwa makaburi ilala, itakuwa mstimu kuwa kwenye makutano ya barabara?

    Hawa wanaopewa madaraka ya mipangilio ya ujenzi wa miji hawana tofauti na KIHIYO.

    Inasikitisha sana, mpaka karne hii bado hata ku-plan barabara zipite wapi na mistimu ikae wapi nayo inakuwa utata.

    Hivi kweli haya maendeleo yako wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2007

    Michuzi....tupatie email address ya huyo Injinia wa Wilaya ambapo hiyo nguzo hipo-Tukusaidie.Si unafahamu nchi inajengwa na wananchi..na wananchi wenyewe ndio sisi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2007

    Sisemi kwamba ni halali kwa hiyo nguo kuwa hapo, lakini I guess ni ya simu...kama ni ya umeme kwa kweli injinia sijui mkandarai huyo anyang'anywe leseni, naana ni hatari sana mstimu huu ukigongwa na gari ukaanguka. At least wangeweka reflectors around the nguzo ili mtu anayepita hapo usiku aweze kuona kwamba kuna nguzo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2007

    Michuzi,
    Kuna kipindi mimi nilidhani unatania kuhusu huu mstimu. nikihisi ni hizi picha za ajabu ajabu ambazo zinakuwa zina-circulate kwa emails.

    Juzi nimueshuhudia mwenyewe kwa macho yangu huu mstimu na kupigwa na butwaaaaaa.

    Wadau wenzangu, ni kweli kabisa huu mstimu upo kama unavyooneka ktk hiyo picha. sio utani. Upo ktk round-about kule temeke stereo - sokoni. Mimi nilikuwa natokea tawi la NMB temeke ambalo halipo mbali sana na huo mstimu

    hii ni sooo, inabidi wahandisi walipinge hili kwa nguvu zao zote. Ni fedheha kwao na kwa taifa kwa ujumla...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...