bila utamaduni ni utumwa hata uwe wapi ama vipi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2007

    heee mbona hamna maharusi wala watu walikwua wanamtumbuiza nani?? au ilikwua liheso halohaloooooooo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2007

    hayo mambo ya nyanda za juu kwa kina rweyemamu,rutashobya,mama kokku...

    Akanana imechanganya hapo.Hapatoshi,baati roof ipo mbali.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    He he, levitation in the offing!! steved.

    ReplyDelete
  4. Ndio mama kokku naona jamaa wamkukumbusha bk na muyayamo. mpe hi salum na kokku

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2007

    du hawa jamaa kwa ukabila ndo wenyewe ukitaka kujua hudhuria harusi zao utaona walivyo wakabila...

    Hija..zenji

    ReplyDelete
  6. Anon hapo juu, ukabila? kila mtu anafagilia kabila lake kiaina ni kawaida. Ukabila wetu TZ hauumizi mtu, Tanzania ni one of the few african countries ambao hatutilii sana maanani ukabila. Tembea uone mataifa mengine yaani hata sehemu za kuishi ni kwa ukabila sio kama sisi mfano kwenye flats utakuta makabila yote wapo.....nk.

    Be proud to be a tanzanian kuna watu/hata wazungu huwa wanatu envi. Though sometimes I think we just too humble!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...