waziri ally na mabrouk khalfani a.k.a babu njenje wakiwa ambassador plaza leo wakijadiliana namna ya kusherehekea hepi bethdei ya babu njenje leo. babu huyu ana bahati kweli kwani kazaliwa tarehe moja na mai waifu wake, hivyo leo ni bethdei dabo dabo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    Huyu babu ni MUHUNI. Itakuwaje Mvi zikatengeneza Panki? Hepi besidei Babu Njenje.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    hongera babu njenje.. du mai waifu wake lazima atupikie wooote tutakaokuwa ukumbini...

    HONGERA SANA BABU AND HAPPY MANY RETURNS!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    HAPPY BIRTHDAY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...