leo asubui milango ya saa nne hivi nimeshuhudia bonge la benzi likipigwa pasi na jamaa waliotaka kupiga bao kwenye maegesho ya jengo la tdfl usoni pa movenpik na ubavuni pa benki ya barclays. kupaki gari dar siku hizi nako ni ugomvi, si foleni tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2007

    I hope hilo sio lile gari langu nililolituma juzi. nyie watoto..kama mnachezea hiyo gari na mimi sijamaliza hata kuilipa toba..mbona mtanipandisha pressure jamani..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2007

    Jeff Koinange wa CNN anyia kambi. Chungulia hapa.
    http://distantlovers.blog.com/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...