Kaka Michuzi unakumbuka hapa? Ni pale ulipopiga picha yako ya jezi ya “Bwawa la Maini”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2007

    let's talk facts here.in my view, radio is still the most used form of medium in Africa.it's the cheapest, it's the most mobile [ubiqutous] and above all it just works perfectly.

    bbc idhaa ya kiswahili inasikilizwa na watu milioni 20!inashangaza kuona wachache wanasema radio imepitwa na wakati.msisahau kwamba tanzania kuna tatizo la umeme, interenet connection ziko slow na expensive.

    na kwa mnaosifia tv, naomba mnitajie tv stations ngapi zinatoa vipindi vya kiswahili katika news and current affairs kwa quality inayokubalika.

    wengi wanaonyesha kwa kiingereza, tuna wazungumzaji wangapi wa kiingereza?mbali na hayo input ya watanzania katika cnn et al ni kiasi gani.

    of course radio inabadilika, kutoka shortwave to digital radio.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2007

    Eti Michu? who is this sweet boy? Hana pete! is he available?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2007

    Anony 1:38 pm Kulikoni??????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2007

    MICHUZI PLZ. WE ARE NOT JOKING AT ALL. TUPE HABARI ZA MBUNGE WETU AMINA CHIFUPA.ANAUMWA NINI NA YUKO KATIKA HALI GANI. KWANINI TUTEGEMEE MAGAZETI YA UDAKU? MICHUZI SIKU ZOTE TUNAKUAMINI TUNAJUA HUWEZI KUSEMA UONGO KATIKA HILI MAGAZETI YANATUCHANGANYA. TAFADHALI TENA TUJULISHE.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2007

    kweli mtu aachi asili yake mechi zinachezwa uingereza watu bongo wanaloga mambo gani hayo michuzi kwenda makaburini siku ya mechi za liverpool,halafu kuhusu hao jamaa wa juu watoa maoni wananishangaza mambo gani viingereza vingi kwani hamjui kwamba hii ni ya watanzania,VIINGEREZA VYENYEWE NI VYA AKADEMI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...