sista kwin toka andagraundi ya makongo juu naye alikuwepo kuonesha kipaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2007

    "Usafiri" wake sio m-baya sana. Halafu hajajiKOROGOA. Natural. Good

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2007

    habari yako michuzi.
    naomba uniunganishe na huyo binti niweze kujua jinsi ya kumsaidia.
    mimi niko hapa UK.
    email yangu ni maddidy @hotmail.co.uk
    thanks.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    kenge wewe ,umsaidie nini binti wa watu au unataka umtumie kwa starehe, acha tamaa wewe promoter uchwara ,nyambafu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2007

    Tehe! tehe! teh! teh! tee! tee!
    Huyo Hasani hapo juu analeta "Janja ya nyani" huyo! KUKULUKA Mwanangu. Tehe! teh! tee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...