dah! kukosa refa tushalala moja. kachomoa moja sasa hivi
Home
Unlabelled
refa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Defender kapewa kadi nyekundu kampiga kichwa maftah
ReplyDeleteKaka michuzi...
ReplyDeleteTunashukuru jamaa kajifanya zidane kamtandika kichwa amir maftaha na ametolewa nje kwa kadi nyekundu..
nahisi itakuwa nafuu kwetu
Michuzi bado dakika 5. Huu mji utakuwa hautoshi kesho! Naogopaaaaa! - OC-Sinza
ReplyDeleteYaani wachezaji wengine ziro kabisa, huyu Nsajigwa na yeye anafanya nini sasa???Watu tumezidiwa mechi nzima na pindi inapoonekana kama tunapata ahueni yeye anaenda kulimwa nyekundu.Kaniudhi sana huyu
ReplyDeleteStop the Press, Henry Joseph Shujaaaaa. Fahari ya watanzania. 1-0
ReplyDeleteWazee mechi ya Msumbuji itakuwa muhimu sana, tuzidi kuomba dua. Hapa Kesho kwa vyovyote vile Msumbiji wanashida au sare, kwa hiyo sisi tujiandae sana, Msumbiji wamebadilika sana, wana kocha mpya halafu wafadhili wengi kwa sasa. Kwa mfano mechi ya kesho wakishinda kila mchezaji atapata $1200,
ReplyDeleteHongera taifa stars kwa ujumla,na pole ndugu yangu Amir Maftah kwa kupigwa kichwa.
ReplyDelete