hapo ni mjini istanbul majuzi ambapo mdau maulid hassan khamis (picha ya juu shoto) kalamba dume baada ya kuhitimu masomo yake ya shahada ya kwanza katika fani za uhandisi wa ujenzi (civil engineering), kutoka chuo kikuu cha nyota (yildiz tekniko yunivesiti). hongera mdau kwa fanaka hiyo....






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2007

    Wewe misupu badala ya kutuletea picha za starz wakielekea Burkinafaso unaleta habari binafsi, lete picha zinazogusa watanzania wengi siyo watu wachache unaowajua wewe na rafiki zako hii au ndiyo mambo flani ya credit

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2007

    acha ushamba wewe!!Hujaenda shule nini??
    mdau mhandisi khamis tunasubiri kuna vitu vyako..project ya daraja la kivukoni tunaingoja kwa macho manne..
    well done fellow keep it up turkey guys...mnaonyesha kuwa pamoja na mazingira ya mbwimbi shule inapanda.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2007

    MTOA MAONI WA KWANZA UNAONEKANA KICHWA MAJI KWELI,UKIONYESHWA PICHA ZA MAFANIKIO YA WATU WALIO NJE HUTAKI UNATAKA MICHEZO TUUU....MICHUZI ANAKUONYESHA WATZ "WANAPIGA BOX" NA KUMALIZA MASOMO VILEVILE.UKO KWENYE LILE KUNDI LA WATU WANAOPONDA KILA KITU WAKIKIONA KWENYE BLOG ETI KWA SABABU WAKO MAMTONI,MIMI PIA NIPO MAMTONI ILA MMEZIDI KUPONDA KUPITA HATA KAMA TUSEME WAZAWA WAMAMTONI KAMA WANGEPEWA NAFASI YA KUJADILI MAMBO YETU YA HUMU.ISITOSHE MWEZI WA TANO NA SITA NDIO VYUO NA SHULE NYINGI DUNIANI ZINAFANYA MAHAFALI.HUYU NI MMOJA WA WACHACHE WANAOMALIZA NA KUTOA PICHA ZAO KWENYE BLOG YETU.
    BINAFSI SIMJUI KHAMIS ILA ANANIPA CHANGAMOTO YA KUONGEZA ELIMU(PhD).

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2007

    Namsapoti anoni wa kwanza, kila anayemaliza BSc akiwekwa humu, tutakuwa na picha ngapi kwa siku? BSc na hata MSc ni mafanikio, lakini wala hayahitaji special mention. PhD may be, nisingeweka hii comment. But kama ni rafiki wa Michuzi its okey maana ni blog yake

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2007

    Wewe anony hapo juu kama wewe ulikimbia umande waache wenzio waonyeshe matunda yao.

    Kama umebeba box na ukagraduate kwa nini usijivune...??? wewe taifa star itakupeleka wapiiiiiiiiii???? Na you can googling yourself for that sio umngojee Michuzi akutafunie kila kitu.

    Hii ni changamoto kwa wanaosoma...kama bado hawajagraduate wanapata moyo...kama wameshagraduate wanafurahia matunda ya wenzao wanaofuata nyayo zao....

    Congratulation on your graduation..... and remember to use your degree right

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2007

    Project zao wanafanyia wapi? Hiyo picha ya kwanza hizo rails zimechoka hivyo hata hawakuzipaka rangi siku ya graduation au huko kama bongo tu?

    Hongera na karibu nyumbani tunakusubiri kwa hamu sana

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2007

    We Anon hapo juu mtindiga hata kiswahili chenyewe hujui "mtoni" siyo (mamtoni)ya huko kwenu Tunduru usilete kiswamakonde chako hapa. Kwanza nani kakuuliza kama uko mtoni? na unatufanya wote sisi wajinga kwamba Turkey pia wanapiga box wakati wanakuwa sponsored na NGO's. na hata kama mwezi wa sita na watano watu ndiyo wengi wanahitimu masomo yao ataweka za wangapi humu na zinatusaidia nini sisi. Are you serious about been inspired when you see a picture of someone finished his studies? Why you haven't been inspired with Tanzania professors who left their qualifications and runs in politics. Dont be stupid man, wake up the time is now, we need to learn through mistake. You need to change education in to money siyo kusoma tu bila kujua utamalizia wapi ndiyo matokeo yake mnazunguka tu na mavyeti yenu mpk yanaliwa na mende kazi hamna. Soma kitu kitakochakufanya uweze kujiajili mwenyewe na kutengeneza pesa. Hii msg ni ya yule jamaa anayetolea macho daraja la kigamboni kuna wahandisi kibao bongo wana pesa na vifaa vyao tayari kuchukua hiyo tenda tena sub contractor sababu main contractor wanatoka China. sasa wewe huna hata experience na bado unakwenda kuishi kwa mama

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    Acheni wivu hata kama ni Bsc. ni yake...nyie kama mmeshamaliza hata PhD. zenu na yeye atafika tu huko ...huu ni mwanzo ...
    kama umegraduate mtumie picha yako Michuzi ....kama hutaki basi acha watu wanaopenda kuonyesha mafanikio yao hadharani wafanye hivyo na wapewe credit they deserve.

    Mmezidi na mawivu yenu...si ajabu hamna hata A level education wote mnaokandia hii picha kwa vile kama mnayo ugumu wa elimu na how it feels like when you accomplish one of your goal.

    Na hata kama wanasomeshwa sponsor si wao...wewe mbona hukupewa hiyo scholarship? Na wamepewa na wamemaliza ...ni wangapi waliletwa na sponsorship ya TZ Govt USA na shule wamedrop na tunawaona mitaani tu...??? Au ndio nyie mnawaonea wenzenu donge...

    Enjoy your graduation

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    Kweli jamani acheni wivu
    kama mmeshindwa kusoma kwa sababu ya box au vipi waacheni wanaomaliza wafurahie matunda yao
    Mbona michuzi huwa anaweka picha za harusi za watu ambao wewe huwajui kwenye hii blog we huwa zinakusaidia nini? mbona huwa hutoi comments zako kama hizo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    YILDIZ TECHNICAL UNIVERSITY ni namba 2005 kwa ubora duniani, kong'oli HAPA

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2007

    Gonga HAPA uangalie ranking ya universities za Afrika pia. University of Dar Es Salaam (3,403) inaizidi University of Nairobi (4,483) na Makerere University (6,429)

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2007

    Unajua nyie manigga mnaopiga huko daiwaka mamtoni ni washamba tu halaf siwapendi kabisa. Mmekaa kushabikia vitu vya wazungu wakati bara lenu maskini la kutupwa. mimi am proud nimesomea darasa la kwanza mpaka digrii ya kwanza hapahapa TZ na sasa am working with the UN na nakamata mkwanja kwa kwenda mbele mtaniambia nini. Acheni kubeba maboksi huko nyie niggaz rudini nyumbani.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2007

    Wewe unayesema unayesema umesoma TZ acha wivu...Tanzania mna wivu sana mkiona wenzenu wanagraduate roho sinawauma kweli. Kila siku mnakalia watu wanabeba mabox ...mkiona wanagraduate mnaona wivu...Si ajabu hata wewe ulikua uanata kwenda viwanjani lakini hukuweza au hukuwa na uwezo huo sasa unajifanya mimi nilisoma toka first grade TZ mpaka degree...

    "Sizitaki mbichi hizi......"
    Mbona wako wengi tu huku wenye degree za mlimani, mhimbili na kwa kariuki wameshakimbilia huku baada ya kumaliza ...........Si wamesoma TZ.Give us a break...maisha hayana formula....mtaishia na viroho vya korosho tu kila siku kwanini wakati wenzenu tunaendelea na maisha...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2007

    SO WHAT HATA IKIWA YA 2005...ACHENI WIVU. YAANI MMESHINDWA KULALA USIKU MPAKA MMETAFUTA SHULE HIYO NI YA NGAPI DUNIANI...INAONYESHA MLIVYO NA DUKUDUKU ROHONI.....WAMEPATA DEGREE

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 16, 2007

    kama upo proud sana na kusoma TZ, ungethibitisha uzawa ulipomaliza shule ungerudi kijijini kwenu ukasaidie ndugu zako. Why upo proud kufanya UN ?????

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 16, 2007

    Hongera msomi hiki ndicho tunachokihitaji kwa watanzania.
    Alafu wale watu wanaopiga makelele kwa watu walio ughaibuni ni wivu tuu. Uturuki watu wanapiga shule kisawasawa, mimi nilikuwepo hapo mpaka mwisho wa miaka ya tisini niliondoka 1999 na kuhamia USA, nilisoma Bogazici University. Washikaji walikuwa kama Madaktari Mzee Masumbuko, Muna , Mayoka , Hussen Mwinyi ambaye sasa ni waziri na hao wote wamerudi bongo na wanawatibu wananchi.

    thanks

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 17, 2007

    Nashindwa kuwaelewa wanaowapinga wanaoonyesha mafanikio yao. Lengo la blog ni kuwakusanya watz wote katika matukio tofauti. ni wazi wanaosoma nje huimarika kwa uzalendo kwani hawaishi tena na ndoto walizonazo ambao hawajatoka nje, kuwa "eti nikifika ulaya tu, naporomosha bonge la jumba siku ya pili". Wanapata ujanja wa maisha, wanajua namna ya kukabiliana na tamaduni tofauti katika nyanja mbali mbali. Tufurahie na kuiga mafanikio ya wenzetu ili tujikomboe kifikra, kiuchumi na kimtazamo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...