waziri mkuu mh. el akisalimiana na afisa uhusiano wa benki ya nmb shy-rose bhanji nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. shy-rose yuko huko dom kikazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2007

    Yaani nashangaa kila Pm anapokuwa na Shy lazima iwe reported na waandishi, kulikoni? We acha tu mambo ya kale

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2007

    Hivi ile ndoa yake ilifungwa au jamaa bado anakaa naye kienyeji bila mkataba ili ale bure vya huyu mama mtu mzima na kumtoroka baada ya kuvimaliza.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2007

    Amina Chifupa mbona haonekani siku hizi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2007

    EL anasalimiana na MRS.Jaffarhymes to BE!! Hizo wedding bells hadi zitaota kutu! Maana harusi yenyewe inachelewa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2007

    Naona kuna dalili kuwa mtu ame miss mvua ya matusi hivyo kaamua kuanzisha zengwe kidogo..hayaaa!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2007

    kulaleki shyrose anachukuliwa na katoto kadogo tu sijui ni kaimbaji ka bendi gani nimewaona kwenye gazeti la Bang nimetumiwa toka bongo.wenyewe eti Celebrity couple hahahaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2007

    Hapo, jamaa anasema kimoyomoyo "haka ka binti kazuri, ila nasikia boyfriend wake ni msanii wa bongo flava"

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2007

    Msanii wa bongo flava asije akaniimba bureeeeeeeeeee....!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    Maalim Issa, this is the time some of your audience gets pissed off when they write something about these government antics like Lowassa and you dare not to publish their concerns. How are they (Lowassa & his people) going to improve their performance if they don’t get criticism? I have a feeling that this blog is CCM’s property. I am going to investigate or just prove me wrong.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    Huyo aloyevaa gray suit namfahamu jamani...hey you.... how are you....???? Jina nimelisahau lakini nakufahamu sana....Nilikua jirani ya uncle wako Masaki.....Hola me out nitakupa more details.....

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2007

    huyo anaitwa mwenye grey/cream suit nadhani ni Tom.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2007

    BOYZ 11 ??? JEFFY KESHAIBIWA................ KAAAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2007

    Shikamoo Waziri mkuu,marhaba Shy-Rose ehe bwana vipi ile harusi yako lini twala ubwabwa? Mzee usijali unajua nasubiria nikamilishe hela ya gauni kwani ni ghali kweli million mbili na nusu! alaa! haya bwana siye twasubiria hivi ni yule kijanawa bongo anayeimba bongo flava sio? hahhaa ehe ndo huyo bwana haya kazi njema.

    ifutayao ni habari kuhusu harusi ya shy-rose na kijana jaffari Ali(jaffarai)kinachochelewesha ndo ya hawa wawili ni ni kila mmoja kutaka ndoa hiyo ifanyike kwa sataili yake.nikiwa kma mtu wa karibu sana wa shy-rose ananiambia natka harusi hii iwe ya kifahari kupita kawaida kwa upande wa mzee jaffarai yeye anataka harusi iwe ya kawaida tu yani chai maandazi sheikh pale kiswisha habari au ifungwe bomani kw amlio ugaibuni kwa mkuu wa wilaya sasa kasheshe ndo iko hapo ndo maana hadi leo ndoa yao inasua sua,shy-rose anataka pia harusi yao iudhuriwe na watu maarufu nchini na wenye nyazfa mbali mbali kama vile akina Issa michuzi,mawaziri,wnamuziki mbalimbali nia yake haswa nikuwakutanisha wasanii na viongozi mbali mbali kweny meza moja na wasanii yani ameipania saana hiyo na anasema anatka ikumbukwe haswa tukio hilo.yani mfano Lowassa akae meza moja na Lady jaydee hivii wapige story za muziki.Na kwa faida yenu tu wadau wenzangu wa blog hii ni kwamba gauni la harusi limeshanunuliwa kutoka nchini marekani ambalo limegharimu $2000.ila cha kusikitisha ni kwamba gauni hilo limeshindwa kumkaa vizuri kwani amenenepa mno sasa hivi na imemuiya vigumu sana kwa sasa kupungua uzito wake.kwa faida ya wnaotka kujua hivi walijunajeeee maan najua kuna watu humuu bila hilo raha sitakuw animewakamilishia ehee bwna Jaffarai na bi shy walianzana uko kijitonyama walipokuwa wakiishi kama majiranii na wamekaa takriban sasa miaka 4 wameenzana tangu 2003 wakati huo shy-rose akiwa mtangazaji wa wa television ya taifa(TVT) mpo hapo wadau? haya basi naishia hapo michuzi niruhie hii usiache.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2007

    SHYROSE MSAGAJI

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2007

    Huyo mtu anayejiita PRINCELEE..pumbavu sana umekosea sana kwanza kusema wewe ni mtu wa karibu wa Shyrose mpaka hapo unaonyesha ulivyo mnafiki kiasi gani, mtu mwenye akili timamu na mstaarabu hawezi kumzungumzia rafiki yake ambaye kakuamini hadi kukuelezea yote hayo, kwa jinsi hiyo halafu ukaamua kabisa kuweka kwenye chombo cha jumuia kama vile kuna aliyekuuliza??!! mijitu mingine bwana....GET A LIFE!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2007

    Jaffarai hold on to that ATM, hold it tight man!! Jichanganye yaani ile ile nite kali hadi uvinza kama unalia vile, Sir God akupe nini tena kijana!!Chukua point za ziada!!Usirembe!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 15, 2007

    Anoni wa 8:19PM umenivunja mbavu kishenzi.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 16, 2007

    Jamani tafadhali nielimisheni. What is so special about Shy-Rose? I heard people say she is beatiful, she is this and that? I don't mean to disrespect her or people's opinion, but I just want to know what is so special?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 16, 2007

    Wewe anonymous hapo juu kinachokukera nini kama mimi na shy-rose ni damu damu? GET A LIFE TOO kama ni matusii ya kizungu hata sisi tunayajua.eboo mijituu mingine bwana.NI MIMI YULE YULE PRINCELEE.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 17, 2007

    jafarai sio fala anajua kwa nini anang'ang'ania hapo..yaaani kuma tamu pia si unajua tena majimama yanakuachia utanue uwanja hayana noma..pia mgodi huo lazima kuushikilia we unafikiri kuwa mwanamuziki ni mchezo!!uanamuziki nje huko si hapo studio machakani. Edward acha uthenge nenda kaendeshe kikao nyie ndo mnaotumia pesa za wavuja jasho kwa kushinda na malaya wazeee!!! get ur ass inside nigger!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...