Home
Unlabelled
solusheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HIZI PARKING ZIMEJAA SANA MID TOWN NA DOWN TOWN MANHATTAN(NYC) KWA SABABU YA UKOSEFU WA NAFASI NA MJI KUWA WA ZAMANI SANAAA(NYC ULIANZISHWA MWAKA 1625 NA KUWA INCORPORATED KAMA CITY MWAKA 1652.
ReplyDeleteSIO SOLUTION KWA TZ KWANI GHARAMA ZAKE NI KUBWA,SPACE SIO TATIZO KAMA NYC NA HATUNA UMEME WA UHAKIKA.
MIJI KAMA WASHINGTON DC HAKUNA HIZI KWANI KILA JENGO LIKIJENGWA LINATENGENEZEWA UNDERGROUND PARKING (KAMA HAIDERY PLAZA-DSM).HATA PALE BRONX(MJI MMOJA KATI YA TANO INAYOUNDA NYC) ALIKOTOKA J LO,COLLIN POWELL NA FAT JOE,IPO SEHEMU MOJA TUU YENYE MAEGESHO YA NAMNA HII.
NAWASILISHA.
Michuzi sio kila kitu unachoona ughaibuni na sisi tuige. Kuna background reasons za kufanya kitu fulani, bongo parking space sio issue, BONGO TATIZO NI POOR PLANNING.
ReplyDeletemwenzangu hapo juu historia yote hiyo kujieleza kidogo ni kazi...
ReplyDeletenail the gun no need of j lo, fat joe who cares.....ha ha ha ha ha ha hah ahahahahahhhhhhh
Babu hapo uliyemuuliza huyu dogo maelezo mengi J.lo,Fat Face who cares?hii ni jinsi gani washamba wa ulaya wanataka kuwatishia watu bongo kwamba wanajua history ila the same same person hajua history ya bongo,ukimuuliza kigamboni au bagamoyo iko wapi utakua umempoteza sana.Shame on these kidz.
ReplyDeleteWEWE hapo juu kabisa hivi unelewa athari za kujenga underground bongo unataka ndio yawe makaburi ya watu sio watu ndio watakuwa wanakabiwa huko huko security bongo still not reliable.parking inatakiwa kweupe kweupe mimi nimeenda bongo nimepark gari sukari house muda mfupi nimerudi side mirror imeenda nakunawatu kibao shoeshine na wapita njia
ReplyDeleteDOGO WACHA UJINGA WAKO,MAREKANI SIO ULAYA.
ReplyDeleteAnon hapo juu msimsakame mchangiaji juu alivyukuwa akionyesha ukubwa wa bronx na majina makubwa ya huko na kutohitaji hizi parking kwani wana nafasi na sio kama manhattan kusikokuwa na nafasi.
ReplyDelete